RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
- Thread starter
- #21
Yes, huo mchezo ni mwingi saana. Na shida ni kwamba mtu akisikia Lexus anakuwa teyari kutoa pesa nyingi, kuliko HarrierSasa nmeelewa Kitu..juz kati mitaa flan Kariakoo....c nikaona Harrier imebandikwa Logo ya Lexus kwa nyuma na mbele..kumbe Mzee Mushi aliuziwa Harrier na sio Lexus kama ilivyo kwenye Logo....