TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
MTM,
Mkuu kwani watasafiri na ndege hadi hotelini wanamolala? ama kule stadium watakopuwa wanacheza?
Ishu ya usalama CABINDA imekuwa noma, hatujui jamaa watashambulia saangapi, mahali gani na kwa staili gani!!. Inaelekea wakati serikali ya Anagola ilipokuwa bize inajiandaa ku-host AFCON wale jamaa wao walikuwa bize wanajiandaa ku-sabotage kwa hio trust no one, betta run home quick Adebayo!!!.
Nijuavyo mimi, ambush za namna ile huwa ngumu kwenye miji kwasababu ya security level na maandalizi ya taack, na jamaa walishambuliwa wakiwa maeneo si mbali na boder; kumbuka security transition kutoka force moja kwenda nyingine kokote duniani huwa ni very risk and difficult
Nadhani dawa yake ni kuhamisha tu mechi zote za CABINDA kuzipeleka mji mwingine...