Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Sky;
Nimeipenda hiyooo! Dah! Yaani unatutambia hapa kuwa weye umewapitishia hao woote?? Si kina aterere si kina habari no, hadi Afrika ya magharibi. Mbona hukumsema Muhaya, Mungoni, Mujaluo?? Hapo hata mmoja hakuwahi?? Pole, ila sijikati ng'ooo. Ka ni kukukosa wewe tu, acha nikukose. Nilio waonjesha, huwa wakinikuta wanataka kunikamata kwa nguvu nikawarudie.
Nlidhani mtaandamana wanawake kwa kunyimwa haki yenu ya kukeketwa ambayo pia ni mila yetu mnakimbilia kuulizia vya kiume!!
Kiukweli mim ni govinda naapa sitopunguza uzito nahc radha itapungua maana hata demu wangu anafurahia sana kila nimgongae haniachi labda nimuache mimi tena kwa mbindeKitendo cha kujitokeza wachangia mada kutetea kutotahiriwa kinaonyesha kuwa kuna watu wengi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao hawajaenda tohara,ushauri,toeni hiyo kitu bana,nina uhakika hampo comfotable kuwa nayo,zaidi ya kujifariji.
Kwahyo wewe ni govi?
Nijikate nini sasa? Aliyeumba mbona hakunikata. Nyani hukatwa na nani??
Kwani binadamu na Nyani si wote tuko jamii moja, au? Mimi Naona kila mtu aridhike na hapo alipo na tutakuwa Poa. Kama aliyekatwa Suna anajiona bora hiyo ni haki yake na wale waliyo na ngozi asilia kama wanajiona wako bora basi nayo ni haki yao..Kwahiyo na wewe ni nyani?
Jiulize kwanini wamasai wakila mke wa mtu huyo mwanamke hamwachi asilaniIkoje hiyo tohara ya kimasai?
Binafsi siungi mkono kuwa na mkono sehemu ile. Kiafya ni vema kuchongwa. Sio suala la haki au sio haki, ni vema kukamenywa, kuepusha madhara kwa wanaume ikiwa ni pamoja na kupunguza maambukizi ya VVUKwani binadamu na Nyani si wote tuko jamii moja, au? Mimi Naona kila mtu aridhike na hapo alipo na tutakuwa Poa. Kama aliyekatwa Suna anajiona bora hiyo ni haki yake na wale waliyo na ngozi asilia kama wanajiona wako bora basi nayo ni haki yao..
Ni kinyama kidg sana kinaachwa kwa ustadi wa hali ya juu ila lile govi wanaliondoa kawaida kama wanavyotahiri wengine.Kama hao wanataili na kuacha kinyama Fran kuna haja gan ya kutaili?
Madhara ya hafya Yapi ndugu ? Wana Waambieni hili wanapotosha. Hivi unataka kuniambia kuwa mwenyezi mungu wakati anatuumba Sisi wanadamu alikuwa hajui lolote? Hili vvu ni la juzi tu lakini mwanadamu yuko maisha mamilioni Ya miaka! Hili ni swala la kiutamaduni Na jadi tu. Mimi siwezi kuikakandia tamaduni Ya jamii fulani eti kwa sababu inanikera..Binafsi siungi mkono kuwa na mkono sehemu ile. Kiafya ni vema kuchongwa. Sio suala la haki au sio haki, ni vema kukamenywa, kuepusha madhara kwa wanaume ikiwa ni pamoja na kupunguza maambukizi ya VVU
We Dada wewe HWanaipenda kuitazama lakini sio kusuguliwa nayo[emoji1]