Tohara kwa wanaume ina umuhimu sana?

Tohara kwa wanaume ina umuhimu sana?

Sky;
Nimeipenda hiyooo! Dah! Yaani unatutambia hapa kuwa weye umewapitishia hao woote?? Si kina aterere si kina habari no, hadi Afrika ya magharibi. Mbona hukumsema Muhaya, Mungoni, Mujaluo?? Hapo hata mmoja hakuwahi?? Pole, ila sijikati ng'ooo. Ka ni kukukosa wewe tu, acha nikukose. Nilio waonjesha, huwa wakinikuta wanataka kunikamata kwa nguvu nikawarudie.
Nlidhani mtaandamana wanawake kwa kunyimwa haki yenu ya kukeketwa ambayo pia ni mila yetu mnakimbilia kuulizia vya kiume!!

Kwahyo wewe ni govi?
 
Kitendo cha kujitokeza wachangia mada kutetea kutotahiriwa kinaonyesha kuwa kuna watu wengi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao hawajaenda tohara,ushauri,toeni hiyo kitu bana,nina uhakika hampo comfortable kuwa nayo,zaidi ya kujifariji.
 
Kitendo cha kujitokeza wachangia mada kutetea kutotahiriwa kinaonyesha kuwa kuna watu wengi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao hawajaenda tohara,ushauri,toeni hiyo kitu bana,nina uhakika hampo comfotable kuwa nayo,zaidi ya kujifariji.
Kiukweli mim ni govinda naapa sitopunguza uzito nahc radha itapungua maana hata demu wangu anafurahia sana kila nimgongae haniachi labda nimuache mimi tena kwa mbinde
 
Wewe kama unaona kukaa na govi ni poa endelea lkn cku ukitamani kuoa binti wa kiislamu lazima tukupeleke kwa ngariba hata kama uko 40 yrs
 
usipokatwa govi lako ...ukipata demu.....unakuwa unajishtukia....toa govi mkuu....tatizo huo UTO-KO
 
Kwahiyo na wewe ni nyani?
Kwani binadamu na Nyani si wote tuko jamii moja, au? Mimi Naona kila mtu aridhike na hapo alipo na tutakuwa Poa. Kama aliyekatwa Suna anajiona bora hiyo ni haki yake na wale waliyo na ngozi asilia kama wanajiona wako bora basi nayo ni haki yao..
 
Ikoje hiyo tohara ya kimasai?
Jiulize kwanini wamasai wakila mke wa mtu huyo mwanamke hamwachi asilani

Wana namna ya kutahiri na kuacha kikwanguo kinachomsugua mwanamke....yaani mwanamke anakuwa kama kaingiziwa dudu 2

Moja inaingia kawaida na nyingine kwa chini inawasugua baaarabara mpaka waseme yoove.
 
Kwani binadamu na Nyani si wote tuko jamii moja, au? Mimi Naona kila mtu aridhike na hapo alipo na tutakuwa Poa. Kama aliyekatwa Suna anajiona bora hiyo ni haki yake na wale waliyo na ngozi asilia kama wanajiona wako bora basi nayo ni haki yao..
Binafsi siungi mkono kuwa na mkono sehemu ile. Kiafya ni vema kuchongwa. Sio suala la haki au sio haki, ni vema kukamenywa, kuepusha madhara kwa wanaume ikiwa ni pamoja na kupunguza maambukizi ya VVU
 
Kama hao wanataili na kuacha kinyama Fran kuna haja gan ya kutaili?
Ni kinyama kidg sana kinaachwa kwa ustadi wa hali ya juu ila lile govi wanaliondoa kawaida kama wanavyotahiri wengine.
 
Mazee kama sualaa la usafi na magonjwa mim naona kama sababu ndogo sana kusema ni muhimu sana kutahiri ,
Mm najua huu utamaduni hapa Afrika umeletwa na waarabu na dini ya kiislam kwa sie watu wa nyanda za juu kusini sio utamaduni wetu kabisa !!
Hadi hivi sasa nina abt 31 yrs na sina hata mpango wa kutoa /kukata hii kitu. Manaake naona mademu zangu wanaipenda so nitawakosea.
 
Binafsi siungi mkono kuwa na mkono sehemu ile. Kiafya ni vema kuchongwa. Sio suala la haki au sio haki, ni vema kukamenywa, kuepusha madhara kwa wanaume ikiwa ni pamoja na kupunguza maambukizi ya VVU
Madhara ya hafya Yapi ndugu ? Wana Waambieni hili wanapotosha. Hivi unataka kuniambia kuwa mwenyezi mungu wakati anatuumba Sisi wanadamu alikuwa hajui lolote? Hili vvu ni la juzi tu lakini mwanadamu yuko maisha mamilioni Ya miaka! Hili ni swala la kiutamaduni Na jadi tu. Mimi siwezi kuikakandia tamaduni Ya jamii fulani eti kwa sababu inanikera..
 
Wanaipenda kuitazama lakini sio kusuguliwa nayo[emoji1]
We Dada wewe H
4f6987129792c18b580c9fb3bb253e7b.jpg
ao watakuwa wa mikoa ileee mtoto kama huyu kweli umpe Mkono wa sweta??
 
Back
Top Bottom