Hujaweka gunzi na dodoki...Toilet Paper zimetengenezwa kwa ajili ya wanawake tu.
Wanaume wa kweli tunatumia;
> Karatasi
> Kalenda
> Gazeti
> Mfuko wa cement mtupu
> Jiwe
> Kipisi cha godoro
> Majani
> Viatu
> Rungu
ONGEZA NYINGINE IF YOU A ARE REAL MAN