Toka akutane na mwenza wake ni siku 11 sasa uume umegoma kulala? Anasema hajapita sehemu nyingine, tunamsaidiaje?

Wakati mwingine mkiambiwa wake za watu ni sumu muwe mnaelewa. Kuna watu huwazindika wake zao ili atakayemnyandua mke wake aipate freshi, wanaita tego, unaweza kujikuta unakojoa uzi au mmenatiana kama mbwa mpaka mwenye mke aje awafungue na utalipishwa gharama kubwa ya fumanizi. Wapo ambao ukifika kunyandua mke wake ngoma haisimami inalegea huingizi hata kidogo, ni namna ya kuwalinda wake zao na vitendo vya uzinzi. Bwana balthazar mzee wa 400 angekuwa bongo wangemkomesha mapema
 
Bora isimame hivyo hivyo kuliko kulala mazima, nashauri apatite rundo la wanawake awepelekee Moto usiomithilika especially wale ambao waume zao wametangulia. Kama hali itaendelea hivyo hivyo kutakuwa na mkono WA mtu.
 
Kuna true story Moja nilishawahi kuisoma zamani, ikitokea South Africa...!

Jamaa alikua Handsome boy +Brother man, kazi yake ilikua kutoa Huduma ya ngono Kwa Wanawake singles, ama hata waliolewa, Yani unafanya booking, unalipia then jamaa anakupangia tarehe ya kuja kukupelekea moto...!

Alianza kidogo kidogo then Biashara yake ikakua, akawa busy Sana, akawa anaingiza pesa nyingi, angeweza kupeleka moto Kwa Wanawake 3 mpaka 5 kila siku, akaona haitoshi coz oda zilikua nyingi, ila Nguvu ya uume wake ukawa hauwezi kukidhi matakwa yake, alitaka Kwa siku agonge Wanawake wasiopungua 10...!

Akaanza kutumia Viagra, baada ya muda zikamsaidia kupiga kazi, ila baada ya miezi 6 akagundua Viagra pia hazifanyi kazi Vizuri, akaacha kumeza, akaanza kusafa Unga hafu anaunyunyiza kwenye Tundu la Uume ..!

Ilikua sekunde tu kitu kinasimama kama Chuma, Hiyo ndo ikawa style yake, Sasa angeweza kupeleka moto Kwa Nguvu zaidi...!

Ni baada ya miezi 3 tu anasema siku Hiyo uume ulisimama mpaka ukawa unauma, kafanya kazi yake kamaliza ila uume umesimama vile vile, Maumivu yakazidi akarudi home kwake, jaribu kutumia namna za kawaida kujisaidia lakini wapi, akaenda Hospital, wakamcheki then wakamwambia Kwa namna mishipa yake ya uume ilivyosimama, haiwezi kulala Tena...!

Na Kwa vile Maumivu ni Makali, salama yake ni kukata ile mishipa, uume ulale, ila ndo utalala Maisha...!

Nna wasiwasi na Ndugu yetu yasijekumkuta yaliyomkuta jamaa wa South Africa.
 
Basi aache ilale mazima kama anaona raha.

Mwanamme wa Kiafrika unaweza kumpa uchaguzi aamue ilale mazima au afe, akachagua afe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo tatizo kiafya uitwa Priapism. Ni hali ya mtandao kusoma 5G kw a kipindi kirefu

Sababu ua. Ni jeraha katika uti wa mgongo au mfumo wa mkojo

Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume
Matatizo kwenye mfumo wa damu hasa sickle cell ( seli mundu)
Matatizo ya mfumo wa chakula hasa Gout

Tafasiri hayo. Tiba pia uusisha operation mpeleke hospitalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…