Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu jamaa ametutia gundu toka amekuja tz team ambazo zinakuja kucheza na simba tukizishabikia zinafungwa...hii ni kutokana na gundu lake.
Nashauri wana yanga kwa kuwa tumeusoma mchezo ili kuitia simba gundu ikija team nyingine hapa tuishabikie simba ili sasa ipate gundu ifungwe.
Nashauri wana yanga kwa kuwa tumeusoma mchezo ili kuitia simba gundu ikija team nyingine hapa tuishabikie simba ili sasa ipate gundu ifungwe.