Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Namwonea huruma kijana akijiingiza kufunga ndoa ,ila huwa tuna hudumia hata tusipo kuwa na malengo ya ndoa mkuu, kumtupia jogoo vijimahindi ili umchinje huwa ni jambo la kawaida mkuu.
We evyn vipi damu yangu?Ndio yule anakusemesha kigumu gumu??
Subiri tu uingie ndaniHadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hiviπ€
Tutampa kiti, tutamwambia aache kulia alafu tumskilize aliyokutana nayo huko π€£π€£π€£Vijana bado wanatusaliti na kuoa.
Anyway, Kila la kheri kwenu ila kama mambo yakiwa magumu basi sisi kama Chama cha KATAA NDOA tutampokea tena mwana msaliti.
Mkubwaa we ndo unakwamisha zoezi mie sina mbambamba mbona.We evyn vipi damu yangu?
Uko fresh jeshi?
Mbona ile kitu hutumi kiongoziπππ
Tatu au nyingiNasubiri uingie kwenye ndoa nione hiyo mihela utakayomwagia mahi. Wakulungwa tumpe christmas ngapi huyu??
Kirisimasi moja yatosha.....Nasubiri uingie kwenye ndoa nione hiyo mihela utakayomwagia mahi. Wakulungwa tumpe christmas ngapi huyu??
Huyu moja inamtosha!! Tatu atakuwa kashajaza seva za mello kwa malalamiko π€£π€£π€£Tatu au nyingi
Kabisa bro π€£π€£π€£Kirisimasi moja yatosha.....
Naunga mkonokumtupia jogoo vijimahindi ili umchinje huwa ni jambo la kawaida mkuu.
Wanawake hampendaniNasubiri uingie kwenye ndoa nione hiyo mihela utakayomwagiwa mahi. Wakulungwa tumpe christmas ngapi huyu??
Vikao ndyo usiseme ndugu watamblockHuyu moja inamtosha!! Tatu atakuwa kashajaza seva za mello kwa malalamiko π€£π€£π€£
Naaaaam.Naunga mkono
Wanawake hampendani. Badala ya kumpa mwongozo mnaanza kumtisha.Nasubiri uingie kwenye ndoa nione hiyo mihela utakayomwagiwa mahi. Wakulungwa tumpe christmas ngapi huyu??
Hii comment imemaliza kila kituNamwonea huruma kijana akijiingiza kufunga ndoa ,ila huwa tuna hudumia hata tusipo kuwa na malengo ya ndoa mkuu, kumtupia jogoo vijimahindi ili umchinje huwa ni jambo la kawaida mkuu.
πππ Hawajui wana wa Israel vizuri huyuVikao ndyo usiseme ndugu watamblock