Tunampenda ila ukweli lazima tumpe, hiyo ni mtego hata ww mwenyewe unajua hilo.Wanawake hampendani
Mwongozo si ndo huo, krisimasi moja inamtosha au? 🤣🤣🤣Wanawake hampendani. Badala ya kumpa mwongozo mnaanza kumtisha.
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Itakuwa container la form six....hivi bado hawajaenda jeshi enh😂😂😂 Hawajui wana wa Israel vizuri huyu
Namfahamu vizuri. Sio Mimi tu hata ndugu zangu wanamfahamu vizuri pia..yote Tisa, kumi ni staff mate na bro wangu.Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki
mwezi na wiki since first meeting na posa keshatoa 🙆🏻♂️
Mnakimbilia WAPI jipeni muda kufahamiana vizuri kwanza TABIA na Mambo mengine b'se NDOA ni swala sensitive Sana na sio kitu cha kukulupuka
Ndiyo maana NDOA za sikuhizi ni matatizo na hazidumu, b'se kuna hatua ambayo ni muhimu Sana watu wanaikimbia nayo ni 👉 maandalizi Ili kujenga msingi imara wa NDOA
Good preparations , good results and vice versa↩️
Uniloge❌Ndio maana nikasema ni propaganda tu ,ngoja siku nikija huko nitakutafuta uniloge kwa ukaribu zaidi😊
Sawa mwalimu ☺️Uniloge❌
Uniroge✅
Timu kataa ndoa watakesha kwq waganga leoHadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi🤔
Ndiyo umekuja kunitangaza huku kwa sababu gani unanitia mashakaHadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na wiki na hii ni baada ya kujitunza kwa muda mrefu, Lakini toka tumeingia kwenye mahusiano hakuwahi kunipa hata hamsini mbovu na mimi skuwahi kumuomba.
Nilikuwa najipa moyo nikasema labda ananipima lakini mpaka unatimia mwezi sjaona akinipa chochote.
Sasa wiki Moja iliyopita amenishangaza baada ya kunambia anataka kunioa,.binafsi skuamini nikajua labda ananitania, kumbe alikuwa serious na ameshajiandaa.
Basi nilivomuona yuko serious nikampa muongozo ndani ya wiki hii akapeleka POSA.
Sasa toka anipose amekuwa akinipa pesa na kunihudumia mpaka nashangaa yani naletewa zawadi kila siku na leo kanambia niseme nataka mahari Tsh ngapi, madai yake anasema hataki mwezi WA Saba uishe kabla hatujaoana
Binafsi nafarijika sana na namuomba Mungu ndoa yetu ipite salama.
Kuna situation Fulani ka raha sana nakapitia.
TBH am so excited nimeamua ni ka share na ninyi
Mwanaume akiwa na malengo na wewe kumbe anakuhudumia hivi[emoji848]
Kuna mwamba anaenda kujitia kitanziPita huku mkuu Liverpool VPN dronedrake