Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Hayo maendeleo unayosema hayana sustainability, huyo msukuma mwenzio kaua macro/micro economy principle. sijui source ya funding itatoka wapi?Mayala kwetu ni njaa-Magufuli.
Duh...!,Mkuu Interested Observer , yamekuwa hayo?!, anyway tuna program gani?.Mmezoea status quo. Usingizi wa pono
Dar varsity graduate mna problem kweli.
Unakuwaje na interest na nchi ya watu?Chadema haina interest na muungano...
Mkuu Interested Observer ,Hayo maendeleo unayosema hayana sustainability, huyo msukuma mwenzio kaua macro/micro economy principle. sijui source ya funding itatoka wapi?
1. Baada ya uchaguzi ni sanctions
2. Kodi - almost hamna walipaji
3. no FDI
4. China ambayo umeitukana Kwa sababu ya bagamoyo port watakuwa very careful
anyway who cares ?
One, hakuna critical thinkers, sioni hata kidogo, Babarosa, Jingalao, Kheri James (huyu ni Dar MBA), .. hata mawaziri wote niliowahi kuongea nao.Duh...!,Mkuu Interested Observer , yamekuwa hayo?!, anyway tuna program gani?.
Kama ni kwa kuusema ukweli mchungu wa CCM kutawala milele, huu ndio ukweli wenyewe uliopo na tarehe 28 October, utashuhudia.
P
1. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki, kama nilivyokuambia hapo juu, sanction zipo na is a matter of time, it is coming. Hakuna swift Code exchange amng banks, itakuwa kama Zimbabwe. Mmeonywa hamsikii. Hamjui maana ya sanctions. Hata bank will cease to function internationally, Watanzania watazuiwa kufungua account kwenye international banks, as long as you have Tanzanian passport. Believe me. They must investigate you first. Is happening now. Kama una fedha zako sasa hivi toa Bank weka nyumbani. Sikutishi.Mkuu Interested Observer ,
- Baada ya uchaguzi huru na wa haki na CCM kushinda kwa kishindo, hakuna sanction yoyote kutoka kwa yeyote kwasababu Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, uchaguzi wetu ni mambo yetu ya ndani hatupaswi kuingiliwa na yeyote!...
Wazanzubar ni kura zetu za ushindi jipeni moyo mtandaoni Na mbwabwajaji wenu. JPM 4 TWENTYZanzibar hakuna chama chenye ushawishi, habari ni Maalim Seif tu! Alipo wapo!
Ina kura nyingi Unguja kwenye nyomi ya watu. Hongera JPM kwa ushindi mnono.Hata CCM tangu ianzishwe haina ushawishi Pemba.
Dk Shein ni Mpemba wa Pemba na ni CCMHata CCM tangu ianzishwe haina ushawishi Pemba.
Hakuna lá milele duniani usidanganye watu kwa kuwategemea policcm na vyombo vyengine.Mkuu 1000 digits , hiyo siku, utaisubiri sana kufuatia Watanzania wanataka maendeleo na CCM ndicho chama pekee kinacholeta maendeleo hivyo Watanzania wataendelea kuichagua CCM daima dumu!.
Ushahidi ni usubiri October 28,
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Mkuu Interested Observer ,
- Baada ya uchaguzi huru na wa haki na CCM kushinda kwa kishindo, hakuna sanction yoyote kutoka kwa yeyote kwasababu Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, uchaguzi wetu ni mambo yetu ya ndani hatupaswi kuingiliwa na yeyote!...
Huyu anajidanganya sana, anafikiri Tanzânia inauwezo wa kujitegemea bila ya misaada ya hawoanaowadharau. Urafiki wa China anaousema kwamba watamtumia hajui kama huyo mchina wenyewe ni ndumi lá kuwili.1. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki, kama nilivyokuambia hapo juu, sanction zipo na is a matter of time, it is coming. Hakuna swift Code exchange amng banks, itakuwa kama Zimbabwe...
Na upemba wake alipata nini kwenye uongozi wake?Dk Shein ni Mpemba wa Pemba na ni CCM
Mkuu tangu uoneshe rangi yako halisi kwamba ni kada wa kijani, basi hata ukweli unashindwa kuuona.Mkuu 1000 digits , hiyo siku, utaisubiri sana kufuatia Watanzania wanataka maendeleo na CCM ndicho chama pekee kinacholeta maendeleo hivyo Watanzania wataendelea kuichagua CCM daima dumu!.
Ushahidi ni usubiri October 28,
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Uraisi kupitia CCMNa upemba wake alipata nini kwenye uongozi wake?
HAPANA, ukiangalia kwa haraka haraka ndo unaweza kudhani Zanzibar, hususani Pemba issue sio chama bali Maalimu Seif lakini ukweli ni kwamba, Zanzibar, hususani Pemba, issue ni chama... na chama hicho kisiwe CCM wala kinachofungamana na CCM!!Zanzibar hakuna chama chenye ushawishi, habari ni Maalim Seif tu! Alipo wapo!
Seif ushawishi wake ni was kikabila zaidi ana ushawishi kwa wapemba waarabu sio weusi Pemba kuna weusi kibao hata siku moja hawampi kura Seif.Dk Shein ni Mpemba Mweusi akina Profesa Mbarawa ni Mpemba mweusi pia wako CCMIna ushawishi mikoa ya kaskazini mwa Tanzania ni kama Maalimu Seif alivyokuwa na ushawishi kwa wapemba tu na waislamu walio wengi tena waisslamu wa siasa kali
Tatizo ni chama kuendeshwa kwa ukabila na kidini, tulioko bara tunaelewa. Kila sehemu utakuta wachaga wakiisifu CHADEMA bila hata sababu. Utakuta viongozi wa dini ya KKT kutoka kanda hiyo wakiisifu kwa kutumia neno demokrasia, bila sababu. Utaona viongozi wa kidini wakitoa waraka lakini ukiwaangalia ni wale wale na tukumbuke mgogoro wa Malasusa kugoma kusoma waraka huo kwenye eneo lake la utawala.Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za muungano....