Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

Diamond ni sawa tu na kakake Zitto, wote ni opportunists. Kwa kweli Diamond kabakia jina tu kwani hana nyimbo nzuri, yupo anaganga tu, akae chini awaachie vijana wenye vipaji..
 
We jamaa kuwa na huruma dah umempa shule ya maana jamaa .wote tunapenda nyimbo ya kuch kuch hotae
 
Binafsi sijawahi kusikiliza nyimbo za Diamond zaidi ya zile za zamani kama UKIMWONA,KESHO na NATAKA KULEWA basi,ila minyimbo yake mingine imekaa kusikiliza watoto tu tena wale wa primary na form 4 B
 
Unaweza kuthibitisha madai yako?
Uimbaji wa Lavalava AKA Kikaswida Diamond atauwezea wapi?
 
Binafsi sijawahi kusikiliza nyimbo za Diamond zaidi ya zile za zamani kama UKIMWONA,KESHO na NATAKA KULEWA basi,ila minyimbo yake mingine imekaa kusikiliza watoto tu tena wale wa primary na form 4 B
Sasa mbona hueleweki kama huzisikilizi umejuaje kama ni za watoto?
 
Nyimbo na Harmo ni motochini kusema kweli.

Zinagusa hisia na kutuliza nafsi unapozisikiliza sio kama za Mondi makelele kibao kama mpiga debe
Show gani kubwa sasa Tanzania utaenda kuwaambia watu nyimbo za kulalia wakuelewe?

Rubby mwenyewe akienda kwenye matamasha anakaza mwenye utaratibu na mahaba yake.
Hapa ipigwe jeje kule Bed room pale Dodo kwa akilo yako wapi kutajaza?
 
kwa music ya Bongo harmo hawezi kushuka ana fedhaaa
 
Show gani kubwa sasa Tanzania utaenda kuwaambia watu nyimbo za kulalia wakuelewe?

Rubby mwenyewe akienda kwenye matamasha anakaza mwenye utaratibu na mahaba yake.
Hapa ipigwe jeje kule Bed room pale Dodo kwa akilo yako wapi kutajaza?
Mimi nitachagua Bedroom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…