Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

[QUOAndy "carcinoma, post: 34932127, member: 419893"]
Nadhani atakuwa katumia miezi kama minne kuandika album wakati wenzake wanatumia hata miaka miwili..
Ndio maana nyimbo nyingi zinafanana kingereza kile cha "i gonna die for u". Atakua katunga ngoma zaidi ya 10 kwa muda mchache.
[/QUOTE]
Uyo ndy tembo asa
 
mpaka kesho kwangu mimi ni wimbo bora zaid kwenye album yake
 
Nyimbo za Harmo ni motochini kusema kweli.

Zinagusa hisia na kutuliza nafsi unapozisikiliza sio kama za Mondi makelele kibao kama mpiga debe
diamond anaangalia soko linataka nini watu sasa hivi wanapenda nyimbo za kuchezeka
 
Reactions: Qwy
Nasubutu kusema unachembe zaushbik wakipumbav sana kwasababu hakuna hoja ya msing ulio iongea hapa zaid ya ushabik wakipumbav jitafakar unasemea nyimbo zenye ujumbe mzuri sasa tazama cm yako je kunanyimbo zenye ujumbe mzur kwenye cm yako ndipo utakapo lipata jibu ya kuwa wew nimtu gan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…