Toka January mpaka leo hii ni member gani kakufurahisha na kukuvutia sana?

Pamoja sana mkuu.

Tuzidi kuimarisha kijiji cha JF kwa faida mbali mbali tuzipatazo humu
 
Nmecheka ulivyocheka mkuu ... Msaidie swalehe hilo swali View attachment 840498

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha mbali sana, mareaction nilikuwaga nayameza makavu makavu kutoka kwenye notes za Mkandawile.

Nikiingia kwenye pepa nilikuwa napachika, kwa sasa nipo mweupe kabisa.

Huyo Dogo swalehe mwambie ameze tu hivyo hivyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] sina mbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa siyasahau kirahisi ... Sijui kwa nini ... Ka swalehe kanaumwa kamerudishwa home ... Kanapambana .. Kanataka kawe ka t.o nakahamasisha hapa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umenikumbusha mbali aisee nilikuwa na pamflect lake la General Chemistry huyu mwl alipiga sana hela. Hivi yuko wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…