Toka January mpaka leo hii ni member gani kakufurahisha na kukuvutia sana?

Usiache tunaongeza siku za kuishi.
Kivipi mkuu mi naona normal kinoma
download.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbao za mawe
Bujibuji
Castr
Baba swalehe na wachekeshaji wengine wanaotuvunja mbavu humu.

Zito junior
Malcom lumumba
Habibu mwanga
Da`vinci
Lifecoded
Infantry soldier
Mshana jr
Bitoz na wengine wengi kule inteligence

Mwifwa
Hajar
Sky eclat hawana matata kabisa.

Nalendwa, Chinchila coat, Rebeca 83, Snow white, Heaven sent you know what I mean.
Na wengine wengi siwez kutaja wote.
Pamoja sana mkuu.

Tuzidi kuimarisha kijiji cha JF kwa faida mbali mbali tuzipatazo humu
 
Nmecheka ulivyocheka mkuu ... Msaidie swalehe hilo swali View attachment 840498

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha mbali sana, mareaction nilikuwaga nayameza makavu makavu kutoka kwenye notes za Mkandawile.

Nikiingia kwenye pepa nilikuwa napachika, kwa sasa nipo mweupe kabisa.

Huyo Dogo swalehe mwambie ameze tu hivyo hivyo mkuu

Umenikumbusha mbali sana, mareaction nilikuwaga nayameza makabu makavu kutoka kwenye notes za Mkandawile.

[emoji23] [emoji23] sina mbavu

Huwa siyasahau kirahisi ... Sijui kwa nini ... Ka swalehe kanaumwa kamerudishwa home ... Kanapambana .. Kanataka kawe ka t.o nakahamasisha hapa ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha mbali sana, mareaction nilikuwaga nayameza makavu makavu kutoka kwenye notes za Mkandawile.

Nikiingia kwenye pepa nilikuwa napachika, kwa sasa nipo mweupe kabisa.

Huyo Dogo swalehe mwambie ameze tu hivyo hivyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenikumbusha mbali aisee nilikuwa na pamflect lake la General Chemistry huyu mwl alipiga sana hela. Hivi yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom