Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa sijui, kumbe!Ninae huku kwa malkia tayari,wewe endelea tu kumsubiri mkuu.😛😛
Duuh... Basi bwana na mie nisije itwa mariooAvatar yako imenikimbiza Daby , naogopa kuitwa Sugar mummy.
[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa anafanya vizur sana jukwaa la likes kule
yani nikitaka kujua habari za usajiri wa majira ya kiangazi kule ligi zawenzetu ulaya najua nikiingia jukwaa la likes numbisa anakuwa amesharekebisha mambo😂😂
huyu ni zaidi ya shafi dauda wa clouds
Shukrani kwa kuniona mkuu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kila mtu ana umuhimu wake ktk nyanja fulani fulani. Wengine tuko general but uwepo wetu kuna watu wanaufurahiaMember wote wanaumuhimu. Kuna watu wapo kwa ajili ya kufurahisha, kufikirisha, kudokeza, kutia moyo, kuhabarisha, kuelimisha, kupiga bann, uchambuzi na wengine kuudhi Ila wote tuna belong ktk one large family ya JF.
Hawa wote 'wamekufurahisha'! We noma sanaEti toka january mwaka huu uanze nani kakuvutia sana kutokana na thread zake ba comment zake?
mimi kuna
-Malco lumumba
-Habbu anga
-Damushin jukwaa la korea siriz
aaaahh sana tu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kumbe nikkuwaza nawe waniwaza!! Love you hubby[emoji173] [emoji173]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio maana nakupenda sasa.aaaahh sana tu
navyokupenda inakuwa kwangu rahisi kuhesabu mapigo ya moyo kuliko kukusahauSi ndio maana nakupenda sasa.
Ahsante Mkuu tuko pamojaZito junior
Malcom lumumba
Habibu mwanga
Da`vinci
.