Toka January mpaka leo hii ni member gani kakufurahisha na kukuvutia sana?

Toka January mpaka leo hii ni member gani kakufurahisha na kukuvutia sana?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha mbali sana, mareaction nilikuwaga nayameza makavu makavu kutoka kwenye notes za Mkandawile.

Nikiingia kwenye pepa nilikuwa napachika, kwa sasa nipo mweupe kabisa.

Huyo Dogo swalehe mwambie ameze tu hivyo hivyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata d ya hilo somo jamani ni zaidi ya balaa madude magumu hayo dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom