Toka Kanyigo to JF

Toka Kanyigo to JF

Kanyigo kwetu

New Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wadau,
Naomba mnipokee kwenye Jamii iliyo na kila kitu nami niweze shiriki

Natangulisha shukrani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nyegera!! Waitu! Umekuja na lile fuso la Mganyizi!!! Waambie wanakanyigo nimewamithi sana! Walinipokea vizuri kipindi nachukua Master zangu pale Kanyigo secondary!! Ahaa!ahaa! KARIBU SANA
 
Nyegera waitu, Infwakti we are very happy to receive you.., ekchuare tumekupokea.., lete na mkanda wa kyuma.. kyuma..!!
 
Mtani kwani kanyigo unahama kabisa? Karibu sana JF.
 
Back
Top Bottom