Hivi huyu aliyeleta ujumbe huu anajua kwamba hakuna tofauti kati ya Mbunge huyo anaitwa Mkono na Raisi wao?
Wakati wa kampeni nakumbuka kulikuwa na ile dhana ya mafiag matatu. Leo hawa wananchi wanaona figa moja hawaliitaji maana wanadhani mafiga mawili ndio yalipika chakula na moja likategea na kusababisha ugali usiive. Kwi kwi kwi kwi kwi sasa wanaposema watampa kura raisi ili amalizie muhula wake si bora wampe na huyo mbunge amalizie naye muhula wake?
Hizi siasa za maji taka zitaendelea mpaka lini?
Kama wana malalamiko ya maendeleo basi kikwete anahusika naye wasimpe kura. Lakini wakimpa tu wamefulia.