Invisble275
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 982
- 1,166
Mkuu wa Chuo cha ufundi Arusha ni jipu. Magazeti yameandika kwa kirefu juu ya namna ambavyo uongozi wa chuo kupitia Mkuu wa chuo umekuwa ukifanya chuo na rasilimali za umma kama shamba la Bibi. Napenda kusifu na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano katika kupambana na ufisadi nchini.
Kwa umakini mkubwa baadhi ya maeneo kama Chuo cha Uhasibu Arusha na chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela Arusha tayari vyuo hivi vimeshafikiwa na tayari hatua zimeshachukuliwa. Sehemu pekee yenye shida iliyobaki katika eneo hili ni Chuo cha ufundi Arusha.
Polio ziko nne sasa Sijui hajapata ya ngapiChanjo ya polio mpaka sasa nina mtoto wa miezi 9 anaenda wa kumi hajapata, private hospital hakuna kama inatakiwa tulipie naomba mtuelekeze wapi kulipa siyo tatizo
Ila ya mwisho huwa ni week ya 14Chanjo ya polio mpaka sasa nina mtoto wa miezi 9 anaenda wa kumi hajapata, private hospital hakuna kama inatakiwa tulipie naomba mtuelekeze wapi kulipa siyo tatizo
Sorry hakupata chanjo ya kifaduro na ile ya matonne ya vitamin A, ndo ilikuwa kasheshe kupata Ila sasa amepata nayo ni baada ya kusafiri kwenda mkoa mwengine.