Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbezi mwisho stend kero kukuuHili la road reserve kuwekwa biashara linasumbua na kuchafua mji. Mfano pale morocco mbele ya kanisa la mitume wa siku zijazo mtaa wa uporoto kuna baasiji restaurant inaitwa nino imejengwa barabarani kabisa hata.kama ni kuchochea biashara hii si.sawa.
Tabia ya trafiki kuazuia njia moja pale kunduchi asubuhi ili magari yanayotokea bahari beach yapite hii si.sawa.
Kila landcruiser kuwasha vingora na kujifanya wanawahi kuliko madereva wengine hiini.sign of rampant corruption
Bodaboda na.bajajai kupita katikati ya.magari na kijifanya.wao hawajui kutumia breki wao.wana haraka sana hili si.sawa