Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Sinza Kuna baunsa mmoja anajiita KATOMPA! Anapora watu simu na wallet kibabe kwenye sehemu za starehe zinazokesha! Jeshi la polisi kituo Cha urafiki na mabatini waanze kumsaka huyu mhalifu!
 
wana jamii forum,
ishu inayoniuma mpaka kesho ni ununuzi wa haya magari ya kifahari maarufu V8 . haya magari yanaingiza hasara kubwa sana lakini kwa upana wake watu hawajaelewa au wanaelewa wanafumbia macho...
Nchi hii maudhi yako mengi sana yaani

Wewe angalia utendaji wa polisi kwa sasa baada ya mama kukataza kubambikia watu kesi sasa hivi polisi wote wamehamia kuonea na kulazimisha makosa ya Barabarani

Kwenye Barabara yaani kukagua magari utawaona kila baada ya km1 ukiwaambia kwenda kulinda raia usiku japo kwa kila kata kwenye maeneo hatarishi eti askari wachache hawatoshi

Jeshi la polisi lijitafakari badala ya kupenda magari ya barabarani yawapende na Raia basi
 
wana jamii forum,
ishu inayoniuma mpaka kesho ni ununuzi wa haya magari ya kifahari maarufu V8 . haya magari yanaingiza hasara kubwa sana lakini kwa upana wake watu hawajaelewa au wanaelewa wanafumbia macho . ngazi zoote kuwa za taasisi viongozi wake wanatembelea V8ukipiga hesabu gharama zake ni kichekesho...
Unajua Nini mama amesha onesha Nia ya kugombea 2025 ndio maana makosa mengi ya viongozi anafumbia macho ili viongozi wa ccm wenye nguvu kuliko yeye pia wanao husika na ufisadi waweze mpitishe Kama kawaida yao hata kwa kuiba kura hapa wananchi tujitahidi kupigania katiba mpya maana nasikia ata magufuli nae alipanga kuleta katiba mpya Kabla ya kufanikisha akawa marehemu
 
Ziko wapi? Unatakiwa ufoe mfano
Screenshot_20230527-232128~2.jpg
Watu wanachezea MFUMO wanaufumua MFUKO hela kwa MADAI HEWA,,, CAG anataka MFUKO urudi kwenye matumizi ya FOMU za karatasi yaani ANALOG maana mfuko uliaminika kuja kumaliza wizi umekuwa mkombozi kwa WEZI... 😂😂😂😂 Hii nchi balaa watu WANAPIGA HELA,,,,
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi...
Ufisadi ni utamaduni, mila na desturi za tawala pamoja na watawala wa Afrika. Huwezi kuvitenganisha vitu hivi.
 
Daah hivi ni kweli nchi Ina EWURA au haina wana CCM wenzangu? Na kama wapo anafanya kazi chini ya Nani?

Leo Moshi Kilimanjaro PETROL Mji Mzima hawauzi Kisa I napanda Bei kesho jumatano hii ni Sawa jamani Kwanini Serekali yetu sikivu Leo. Haina maamuzi wala msemaji mkuu? kwanini mnamchafua Rais wa nchi hii asie kuwa na hatia? Mungu atawalaani mpaka uzao wenu wote.

Mkuu Wa Mko yupo Mkuu Wa Wilaya yupo TRA wapo watendaji wengine walioweza kusema hili na kulikemea wapo pia ila washamuona Mkuu Wa nchi kama Bibi Yao mzaa baba sasa iko siku yenu ataamua maamuzi ambayo hayatawaacha salama.

msimuone kanyamaza ila kumbukeni kimya kingi kina mshindo usio vumilika

ASANTENI
 
Habari, karibuni katika andiko langu la stories of Change 2023
 
Sasa nani ana enforce hizi sheria za kulinda mikataba hii kama sheria zetu za ndani ni useless kwenye mikataba hii.

Mimi si mwanasheria lakini, siungi Mkono mawazo haya...! Kama ambavyo, siungi Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kutokuwa na mamlaka ya kusamehe mfungwa ambaye amefungwa magereza/vyuo vya mfunzo Zanzibar!
 
Back
Top Bottom