Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Aachie uhuru wa bunge
 
Hili naliongea kwa kuwa na mkubali na kumpenda mh Rais. Suala la mkuu wa mkoa wa dsm lina madhara makubwa katika kuaminiwa kwake na jamii ya anao waongoza.

Mh ajifunze kwa watangulizi wake, awamu ya kwanza walifikia hata kutunga wimbo ule wa kuhamasisha jamii iwe na imani na viongozi wao. Wimbo huu maarufu, tuna imani na... yana tajwa majina ya viongozi mbalimbali. Walifanya hivi kwa kuwa walijua ni mzigo mzito kuwaongoza watu kama hawana imani na wewe. Itakuwa ni ajabu sana kitu kinachondoa imani ya wanaongozwa kwa anayewaongoza eti kipuuziwe tu hivihivi.


Ajue tu huku katika jamii kuna ndugu, marafiki na hata watu walio itarakti na huyu mheshimiwa katika maisha ya kila siku na wanamjua vizuri nje ndani.

Hivi nimetoka nje ya maada eeeh!


Na washawasha!
 
Aagize wizara ya kilimo ijenge miundo mbinu mipya mikubwa ya kilimo cha umwagiliaji angalau kila mkoa iwepo iyo project moja ili maisha yakitushinda mjini tuende tukalime bila kutegemea mvua
 
Hilo linasaidia vipi mamilioni ya watu waliopo vijijini Kwa mfano. Na je una uhakika Hilo tu kitakufanya uamini kweli magufuli ni rais wa wanyonge.. Jukumu Hilo umeliona ni gumu Sana na ni muhimu Sana kutekelezwa??? Upo serious

Mbona unamjibia, au una majibu yako mfukoni? Kuna jamaa kasema au ndo yeye mwenyewe! Nami napata mashaka!
 
Atoe ajira swaga za wafanyakazi hewa ziishe.
 
Hilo linasaidia vipi mamilioni ya watu waliopo vijijini Kwa mfano. Na je una uhakika Hilo tu kitakufanya uamini kweli magufuli ni rais wa wanyonge.. Jukumu Hilo umeliona ni gumu Sana na ni muhimu Sana kutekelezwa??? Upo serious
Wananchi wa vijijini wanalipa kodi ambayo ndio anatumia mtu aliyefoji cheti,sasa ili kuwasaidia ni bora amtumbue tu kuliko kodi yao kutumika kumlipa mtu aliyetenda jinai
 
awape viwanja wakazi wote waliojenga pembezoni mwa mto msimbazi
 
Alipe madeni ya ndani bila upendeleo na Afuate bajeti iliyo pitishwa na bunge
 
We pungwani kumbe
 
Atakapo sema Msema kweli ni mpenzi wa mungu lazima ni wambie ukweli mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anaitwa Daudi bashite hivyo ninamtumbua kama nilivyo mtumbua mkurugenzi wa jijiπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…