Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Angetoa Ajira kwa walimu na Watu wengine wanaosubiri Ajira
 
Afanye juu chini ipatikane tume huru ya uchaguzi
 
KUJIUZULU
 
Hilo lina ugumu ndugu wanyumbani kabisa! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Avunje bunge turudi kwa boksi!
 
Alipwe mshahara na awe anaenda gengeni kujinunulia chakula atajua bei ya sembe imepanda 3 times tokea aingie madarakani.
 
Yeye kujiuzuru na tukarudi kwenye uchaguzi
 
Lina leta mdororo wa imani kwa Rais. Wananchi na hata wasaidizi wake watakosa imani naye. Na wakishakosa imani naye itamwia vigumu sana yeye mh Rais kutekeleza kwa ufanisi kazi ya kulitumikia taifa hasa wanyonge wa taifa hili.

Hii imani twaweza iita support au kuungwa mkono, sasa mdororo wa kuwa supported ukijitokeza hata kusema kauli kama "sijaribiwi" hataweza. Hii anaisema maana tuko watu tena wengi tulio na imani naye.

Atafanya vipi kazi na watu wasio na imani naye? Au kuna kitu chengine?

Na washawasha!




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…