UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA MAFARAO KULE MAGOGONI, HIVI UNAJUA MAANA YA KUSIMAMIA KAULI NA MAANA YA MSIMAMO, JAMANI KAMA HAWA NDO WATANZANIA WENYEWE BASI TUKUBALI YAISHE. HUWA UNAFUATILIA SANA KAULI ZA MAMA HUYU NA MATENDO YAKE VINA SHABIHIANA ?AU UMETIA USHABIKI TU WA KIMHEMUKO?Napenda kutumia fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais JPM kwa kumteua Angellah Kairuki kuwa waziri wa Madini.
Bila chembe hata moja ya unafiki, Angellah Kairuki ni mmoja kati ya mawaziri ninaowakubali sana.
Namkubali Kairuki kutokana na msimamo wake kwa kile anachokisimamia.
Ni mtu ambaye huwa hateteleki. Ni mtu mwenye msimamo na anayejiamini sana.
Mheshimiwa Angellah Kairuki, nakutakia kazi njema na yenye mafanikio makubwa katika wizara mpya uliyopewa.
Mungu akutangulie na kung'oa visiki vyote vilivyo mbele yako ili usijikwae.
Lbda km unafurahia uongo wake ktka wizara anazoziongoza,maana hakuna waziri muongo km Kairuki na Mwijage!!!Napenda kutumia fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais JPM kwa kumteua Angellah Kairuki kuwa waziri wa Madini.
Bila chembe hata moja ya unafiki, Angellah Kairuki ni mmoja kati ya mawaziri ninaowakubali sana.
Namkubali Kairuki kutokana na msimamo wake kwa kile anachokisimamia.
Ni mtu ambaye huwa hateteleki. Ni mtu mwenye msimamo na anayejiamini sana.
Mheshimiwa Angellah Kairuki, nakutakia kazi njema na yenye mafanikio makubwa katika wizara mpya uliyopewa.
Mungu akutangulie na kung'oa visiki vyote vilivyo mbele yako ili usijikwae.
Magufuri ndo Diwani uliyemchagua au mihemko inakusumbua?Mh Magufuli njoo hapa kahama uone barabara za mitaani,, hata kuchongwa tu kwa greda hakuna .Taarifa tulizonazo nikuwa pesa zote wanagawana na kujenga vidaraja vidogo vinavyobebwa na maji.Kwakuwa DC yupo lakini haoni njoo ufukuze wote kuanzia engineer, mkurugenzi na DC. Tuokoe watu wa kahama kwa wizi.
Kahama wana Mbunge na Halmashauri sasa mbona kama hawatimizi wajibu wao na unadhani Bukoba amefanya kwa bahati mbaya kule halmashauri ipo Chadema kwahiyo alikuwa anafagia njia kuonyesha kuwa hela zinaendagaWajipangae maana DEDs wa Bukoba Rural na Municipal kazi zishaota nyasi
Hii ni kweli au fake news mazee? Una maana gani "hawana hata senti moja hapa Tanzania zaidi ya mishahara" ?Wawekezaji kwenye sekta ya madini hawana hata senti moja hapa Tanzania zaidi ya mishahara.