Ni kweli Kabisa. Mpaka saizi vitu vingi hawaelewi kama tumevibadilisha na tunajitegemea Mfano Uchaguzi Mkuu tumejitegemea 100%, NECTA 100%, TCU 100%, Ujenzi wa miundombinu 80% +15% kutoka china n.k.TOKA LINI MWANAUME ANAYEJUA KUTAFUTA HELA UKAMTISHIA ETI HAUMPI HELA!?
Leo 22:05hrs 19/11/2020
Ukimtishia Mwanaume anayejua kutafuta hela eti haumpi hela,hawezi kutishika,Chuma kinakusanya trillion 23 kwa Mwaka,sasa EU wanamtisha na 1.6 Trillioni? Kweli jamani!
Ni kweli trillion 1.6 inajenga fly over ya Ubungo, sasa Chuma kimetangaza kujenga fly over 5 kama ya Ubungo, Uhasibu, Fire, Mwenge na sijui wapi uko kuelekea mbagala.
Numbers don't lie, Mwaka 2019 Tanzania imepokea Watalii 1,527,000 na wameingiza 2.6 bilioni dolar, sasa 2.6 billioni zidisha mara rate ya leo 2312 kupata hela ya Kitanzania.
Ndugu zangu tusidhani wazungu wanaisaidia Africa hata siku moja, wanabeba rasilimali zetu kuliko kamsaada wanao dai wanatoa fanya tafiti zako ujiridhishe Thabo mbeki ripoti inasema Wazungu kila mwaka wamasomba Africa $700 millioni.
Ndugu zangu mkisikia tumepewa hela kiasi kadhaa na ulaya au America msifikirie yanakuja mabegi ya euro au dollar la hasha kinakuja ki dispatch tu kibarua tu,kinaenda kwenye Benki yao iliyopo hapa nchini,wanawaambia Tanzania ikitaka hela wapeni, Cha ajabu Tanzania ikitangaza kuuza hati fungani wananua wanadai wametupa pesa,
Ndugu zangu mkisikia nchi imesema imetupa mkopo sio hela zote za zile nchi bali kuna watu binafsi matajiri kwenye zile nchi wapo nyuma ya pazia wametoa,Sasa siku unaweza kuambiwa mwamkie yule unasema kwani nani yule,watakwambia yule ndio alikupa zile hela ulizoomba! Hapo ndio utajiuliza toka lini shetani akachukia dhambi!?
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Unataka ujifunze nini specificallymajuha kama wewe mnampoteza sana Magufuli. Tanzania hatuna sababu ya kuwa na aina ya uongozi unaovutana na nchi zilizoendelea kiuchumi. bado tunahitaji muda zaidi wa kushirikiana nao, tukijifunza kutoka kwao. ni kama mwanafunzi kuanzisha mvutano na mwalimu - utaishia kufukuzwa shule/chuo.
ficha UPUMBAVU wako.
unajitekenya na kucheka mwenyewe pole sana ndo huyo mumeo azidi kukutaftia hela za halali
Ila mshauri asitutoze kodi maradufu
Wewe ndio mpumbavu!majuha kama wewe mnampoteza sana Magufuli. Tanzania hatuna sababu ya kuwa na aina ya uongozi unaovutana na nchi zilizoendelea kiuchumi. bado tunahitaji muda zaidi wa kushirikiana nao, tukijifunza kutoka kwao. ni kama mwanafunzi kuanzisha mvutano na mwalimu - utaishia kufukuzwa shule/chuo.
ficha UPUMBAVU wako.
Wewe ni hasara kwa taifa na ni moja ya watu wenye roho ya kimaskini sanaUmeongea kishabiki sana katika ulimwengu wa kileo kuwa na mahusiano mazuri ya diplomasia na nchi nyingine ni Faida sana, Hakika jeuri haijawahi kuleta hata mboga mezani Usiniambie kuwa umeona inshu ya msaada tu as impact hata hao wana ku motivate behind wanatumia izo kauli kisiasa ila wanajua fika impact za mabeberu. Usiwe mjinga wa kubeba kila unalosikia
Wewe ndio mpumbavu!
Tz haihitaji kuingiliwa mambo yake ili kushirikiana na EU!
Ujinga huo wanao viongozi wa chadema tu
Hiyo 60% hatujawahi kufika pamoja na msaada na mikopo yao, leo hatupew ndo tutafika?Ilani itakuwa ngumu sana kutekelezeka kwa hata 60%!