Toka lini Mwanaume anayejua kutafuta hela ukamtishia eti haumpi hela?

Huu uzi umewashika pabaya sana
Mluguru taratibu, teuzi hakuna, ukiropokaropoka ka umekunywa gongo ya Mkundi, watakufukuza hadi uanachama ushindwe kumng'oa Abood!😀

Halafu huku huonekani, hakuna wajumbe!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Jiwe linakusanya trilion 23 kwa mwaka halafu linaenda kukopa pesa za korona wakati likiutangazia ulimwengu kuwa nchini kwake hakuna korona. Ajabu matumizi ya hizo hela hata hayajulikani
 
Nalile ombi la msaada wa uwanja kutoka mfalme wa Moroco tutalipa nini
 
Mwanaume anaejua kutafuta hela zimbabwe?Unaelewa kuwa Kwa sasa hivi rafiki yetu mkubwa na mdau wetu mkubwa wa maendeleo ni Zimbabwe?Huu ni uongozi wa namna gani sasa?Tunavyosema kuwa Tanzania inaongozwa na goigoi ni vyema tukaelewana kwanza kwenye hilo kabla ya yote.Yaani nchi masikini mdau wake mkubwa wa maendeleo na rafiki yake mkubwa wala siyo masikini kama yeye bali ni fukara!
 
Aisee Kama Hawa ndio Pro Magufuli hii nchi ina safari ndefu

Hivi Tanzania imeshakua self dependency country?we cannot survive even a month tukifungiwa milango Mr mburura
 
Kwani huwa ni misaada au mikopo ambayo hurejeshwa?
 
Wewe Ndiyo likilaza la kijani kabisaa Fly Over ya Ubungo Trillion 1.6, Na mwaka huu CORONA watalii wamekuja wangapi?
 
Recession
  1. Falling consumer confidence, (e.g. negative series of events causes consumers to delay spending). ...
Wakiwapiga EU na US na sisi wanyonge tutawapiga na hii hapo🖕
 
Nyie wehu mngekuwa mnajua kutafuta hela , mngekuwa mnatembeza bakuri la msaada la msaada kila kukicha .
 
Inaonekana akili yako ni sawa na punje ya choroko.

Unataja watalii, hivi watalii hao huwa wanatoka Makawi au Zimbabwe. Waulize Zimbabwe, baada ya nchi yao kuwekewa vikwazo, wanapokea watalii wangapi kwa mwaka?

Hivi una tatizo la afya akili? Unaelewa maana ya vikwazo? Bunge la Ulaya limetamka mambo makubwa 3 ambayo ni hatari sana yakitekelezwa:

1) Misaada ya EU kwa Tanzania kukoma

2) Wanashauri nchi wanachama wa EU, kila nchi kuchukua msimamo huo huo

3) Kujadili uwezekano wa kuiwekea vukwazi vya uchumi na biashara Tanzania

4) Kutokopeshwa fesha na Taasisi yyoyote ya kifedha iliyopo katika jumuia ya EU

Kama una akili japo ya kiwango cha darasa la 4, utaelewa kuwa siyo 1.6 trillion tutakazisikosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo trilion 24 unazokusanya kwa mwaka kama ni kweli ambazo unazipata baada ya kuwakamua vilivyo wananchi wako ndizo unatambia hapa kwamba zinaweza kutosha kuwahudumia watu mil 60? wale washibe, Elimu, Afya, Kilimo, Mishahara, Marupurupu yote - afu na nyingine zibaki uwajengee Madaraja, Bwawa la umeme, Reli, Ndege na meli? maweee!!
 
Haya sasa hii dunia ni kijiji.usije ukadhani utaficha kichwa kama mbuni halafu limwili lote liponje.Nani aliyewaambia muibe kura mnaingiza nchi nzima kwenye matatizo.Tamaa ndiyo hasara take eti nataka kuona kijani tu,ili iweje?
Nani kaiba kura. Sikia wewe. Hamuwezi kuingia ikulu kwa mgongo wa mabeberu. Mmepigwa kihalali sasa mnatapatapa.
 
Ni lini mlijua kutafuta hela, kila siku vilio kwa beberu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…