Toka lini Mwanaume anayejua kutafuta hela ukamtishia eti haumpi hela?

Hizi mbwembwe hizi,Yaani unasema TZ ina hela?vijana wa elimu ya juu sio wote wanaopata mikopo,sasa hiyo pesa ipo wapi?
Ajira hakuna,flyover tunajenga kwa mikopo,hizo pesa zipo wapi?
 
Nakushauri utafakari ulichoandika ndugu yangu , tafakari!!!! Tafakari!!!!! Tafakari!!!
 
Tangu lini mwanaume anayejua kutafuta hela akaomba hela kwa mwanaume mwenzie tena kwa kuongopa??.
Rudisheni hela za wanaume wanaojua kuzitafuta, hizi longolongo mlizozianza hazitawasaidia.
 
Tayari tra wamemwagika Kama mvua mtaani kufidia hizo hela. Mwaka huu hata Kodi ya kichwa itarudi. Trust me hiki kibri Cha meko kinatugharimu walalahoi lazima tutakimbilia Kenya wote hadi tukome kutoandamani kulitoa hili dictator
 
Wakati mnapokea mlikuwa sio wanaume na mlikuwa hamjui kutafuta.?
 
Yaani mtu kuandika zaidi ya paragraph tatu huwa naona siyo haya huu hapo sasa
 
Wakikataa ni powa tuu na wakitoa pia ni sawa
 
Ni hii pesa ya madafu unayokusanya kwa wanyonge, sioni kama ina impact kubwa unapohitaji kubadili pesa za kigeni ili uagize bidhaa nje hasa kwenye mazingira ambayo umewekewa vikwazo na hao mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…