Nilicho kiandika na ulicho jibu vitu 2 tofauti kabisa. Anyway, kabda nirudie tena in case hujanielewa, "it doesn't matter who is going to be the PM of Israel, war against Israel and Palestinians will never end up to the end of the world"
Suala la Netanyahu na nduguze kwamba sio Wayahudi pure, jumuia ya Kiislamu imelitengeneza kwa mfumo ule ule wa Taqqaiya, yaani ili mambo yaende kwenye Uislam UONGO lazima uwekwe, yaani (mpo tayari either kuongea ukweli nusu na nusu nyingine ni UONGO au mnaweza kuongea uongo pure ili kudanganya watu,)
Hapo kwenye mabano naomba unithibitishie kwamba ni wapi nilipoandika, au kukwambia kuwa mimi ni muislam. Kama haujathibitisha hilo, inamaana wewe ni muongo na yote uliyoandika hapa yataonekana ni uongo usiokuwa na maana yoyote.
kuhusu kina Netanyahu mnalazimika kuudanganya ulimwengu kwasababu ya contradiction iliopo kwenye kitabu, kitabu kinasema ardhi ile ni mali ya Wayahudi, hakisemi chochote kuhusu Wapalestina and in fact, hakuna kitu kinaitwa WAPALESTINA, now ili kuendana na kitabu is either uwakane kina Netanyahu kwamba sio Wayahudi au u pretend kwamba hakuna andiko la namna hiyo kwenye kitabu;
Kwanza unachotakiwa kujua. Hapa JF forum kila mtu ana Imani yake. Kuna waislam wana kitabu chao, kuna wakristo wana kitabu chao, kuna wengine hawana imani yoyote kati ya hizo nlizotaja hapo juu na hawaamini katika kitabu chochote kati ya kikristo au kiislam. Hivyo unapojadili hoja za watu wenye akili timamu kama mimi hutakiwi kutumia kitabu kama reference unless kama na mimi nitazungumzia habari za vitabu.
Kwanza wewe vitabu umeletewa miaka 200 au 300 tu iliyopita. Plus alieandika ni binadam kama wewe, je kama ameindika uongo kwa malengo yake wewe utajuaje?
Alaf cha kushangaza hicho kitabu ambacho unalazimisha mimi niamini kuwa kinawataja kina Netanyahu, bado kina Netanyahu wenyewe unaosema wametajwa katika hicho kitabu hawakiamini. Sasa wewe mpogoro wa Mahenge umepata wapi ujasiri wa kukiamini, kama waliotajwa wenyewe hawakiamini?
Lakini pia kitabu kimetaja wayahudi. Leo hii kuna waeithopia pure ambao ni wayahudi, kuna wahindi pure ambao ni wayahudi. Sasa hao nao waende wakakalie ardhi za watu kwa kisingizio kuwa walitajwa kwenye kitabu hiyo inaingia akilini kweli?
Kama muethiopia na muhindi (pichani) wanaweza kuwa wayahudi, unashangaa nini kukwambia kuwa Netanyahu ni mzungu wa Poland alievamia ardhi ya watu kwa masilahi yake na wale waliomtuma kwa kisingizio cha uyahudi? Maana uyahudi ni imani ndomana kuna wazungu, wahindi, waeithopia na hata wewe ukitaka kuwa myahudi unaweza. Ila kutoka bongo kwenda Palestina kuvamia ardhi za watu kwa kisingizio cha dini yako ya kiyahudi kuandikwa kwenye kitabu kama huyo msukuma pichani 🤣🤣🤣 haikubaliki.
Leo hii akija mhadzabe kwenye nyumba yenu akakwambia umpishe eti kisa historia inasema kuwa wahadzabe ndo watu wakale zaidi Tanzania (Tanganyika) utampisha? Yani utamuachia mhadzabe nyumba kwa vile aliandikwa kwenye kitabu, kweli inaingia kilini kwamba kitabu kilichoandikwa na wakoloni kuhusu wahadzabe ndio kitumike kukupokonya nyumba yako?
because now days technology imekua unaweza kufanya tafsiri ya Quran kwa kutumia technology then inakua sio siri tena kama ilivokua zamani.
Mimi sio mfuasi wa kitabu chochote kama ulivyokaririshwa kwamba mtu akipingana tu na Israel au Netanyahu huyo kwako ni muislam na vipi kuhusu Mandela, Nyerere, mpaka Desmond Tutu hawa walikuwa wanaswali msikiti gani mkuu? Naomba unitajie misikiti yao ili nijiridhishe kuwa kila anaeipinga Israel ni muislam.
Nisisitize tu, tufurahie au tuchukie, Israel na Waarabu kupigana itaendelea until the end of time; tujikite na migogoro yetu Africa, Al Qaida, Boko haramu, kile cha Somalia nk, tujikite navyo hivyo maanake vita zao hazipo kwenye vitabu
Binafsi sijawahi kusema nachukia Israel popote pale. Kama ipo sehemu hiyo nioneshe niombe radhi.
Kuhusu kujikita na Africa. Hilo sasa ni pendekezo la mtu kuamua, maana kila mtu ana mtazamo wake. Lakini pia sisi wote hatuwezi kuandika kitu chenye mtazamo mmoja, kwamba wote tuandike about Africa, hiyo haitaleta ladha. Jukwaa linatakiwa liwe la ladha tofauti na mitazamo mbali mbali.
Hata hivyo mimi nimeshaandika thread kibao, kuhusu nchi yetu Tanzania, nimeshaandika kuhusu Congo, Rwanda nk, na zipo humu. Ila kwa vile akili yako imeishia kwenye mambo ya udini, vitabu nk ndomana huko kungine wala haukupaona. Najua ni ngumu kwa mtu kama wewe ulietiwa sumu ya udini kujadili hoja kama hizi bila kukimbilia kuingiza dini zenu. Lakini mimi ningekushauri uachane na mtazamo huo, ni wa kizamani mno.
Jifunze kupitia maneno ya raisi wa China hapo pichani.