6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 3,952
- 8,807
Niaje waungwana
Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo kukimbizwa hospital haraka kwa ajili ya kuwahi kuokoa maisha yake.
Sasa toka kipindi hicho mpaka leo waziri mkuu huyo hajawahi kuonekana hadharan wala hospitalini. Hii inaonesha kuwa jamaa hayupo katika hali ya kawaida. Eidha yupo hai au hayupo hai.
Ingekuwa kwa hii nchi yetu, tayari wananchi tungeanza kuhoji alipo kiongozi wetu, haswa baada ya kutambua kuwa alikula sumu. Lakini kwa wenzetu hilo wala haliwashughulishi, ni kama walikuwa wameshamchoka. So hawana habari nae tena.
Netanyau alijiona mjanja, na kusahau kuwa kuna wajanja zaidi yake. Haya sasa wajanja washaondoka na roho, halafu jumbo bovu linaangushiwa hicho kibibi kilichopostiwa na chombo chao wenyewe cha habari "BBC swahili".