Toka Netanyahu alipokula chakula chenye sumu, mpaka leo hajawahi kuonekana hadharani. Hivi ni nini kinaendelea juu ya uhai wake?

Hivi unavyoongea mnauhakika??!!netanyau jana tu kaonekana uk yupo powa sijui povu la nini nyie vdampa wa mudi😂😂😁😁 mtachekwa acheni ushabiki maandazi ingia ukurasa wake umuone kiazi wewe
Wewe ni mpumbavu. Netanyau hatothubutu kukanyaga UK sasa ivi kutokana na kesi yake ya ugaidi huko ICC.
Ndomaana Netanyahu hua anafurahi kuwa na rundo la wapumbavu nyuma yake
 
Ila kobazi mnashida sana. Lakini all in all imani ya kila mtu iheshimiwe
Ulichoandika kuhusu kuheshimu imani ya mtu kina ukweli. Ila kuna tatizo la vijana wengi kuamini kuwa kila anaepingana na Israel au Netanyahu ni muislam, kitu ambacho sio kweli.

Hapo tayar umeshanivika jina la kobazi 🤣🤣 wakati hukuwahi kuniona msikitini, au katika thread zinazohusiana na mambo ya dini ya kiislam, au kikristo.

Nina imani hata Mandela, Nyerere na Desmond Tutu wangekuwa mana JF wenzetu hapa JF basi mngewaita hivyo hivyo. Wakati kiuhalisia hao ni real Christians pengine zaidi yenu nyinyi mnaoshinda mitandaoni.
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    45.6 KB · Views: 14
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    33.3 KB · Views: 16
  • images.jpeg
    images.jpeg
    34.6 KB · Views: 13
Sawa mbong'olea mtume vua pampaz hilo limeshajaa
Wewe endelea kumpa kijambio chako mwanajeshi wa Netanyahu ili uje ubarikiwe na bwana wenu mungu wa Israel. Maana vijana mnaliwa sana kwa ahadi ya kubarikiwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250725_211031_Chrome.jpg
    Screenshot_20250725_211031_Chrome.jpg
    512.6 KB · Views: 13
Huwenda ameweka mtego ili awajue wabaya wake si umesikia Ufaransa wanataka kuitambua Palestina kuwa ninchi huru.
 
Niaje waungwana

Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo kukimbizwa hospital haraka kwa ajili ya kuwahi kuokoa maisha yake.

Sasa toka kipindi hicho mpaka leo waziri mkuu huyo hajawahi kuonekana hadharan wala hospitalini. Hii inaonesha kuwa jamaa hayupo katika hali ya kawaida. Eidha yupo hai au hayupo hai.

Ingekuwa kwa hii nchi yetu, tayari wananchi tungeanza kuhoji alipo kiongozi wetu, haswa baada ya kutambua kuwa alikula sumu. Lakini kwa wenzetu hilo wala haliwashughulishi, ni kama walikuwa wameshamchoka. So hawana habari nae tena.

Netanyau alijiona mjanja, na kusahau kuwa kuna wajanja zaidi yake. Haya sasa wajanja washaondoka na roho, halafu jumbo bovu linaangushiwa hicho kibibi kilichopostiwa na chombo chao wenyewe cha habari "BBC swahili".

View attachment 3418427View attachment 3418428
Hapa alikuwa hata hajaoga ndo alikuwa ametoka shimoni
 
Nadhani ndip binadamu katili wa karne ya 21
Huyo jamaa nahisi sio mtu wa kawaida ana unyama fulani kwa ndani Bibi
Hapo ndo ule msemo wa "mshahara wa dhambi ni mauti" unapotimia.
 
Huwenda ameweka mtego ili awajue wabaya wake si umesikia Ufaransa wanataka kuitambua Palestina kuwa ninchi huru.
Ya ni kweli wafaransa washachoka kumbemba Netanyahu na genge lake. Wameamua wasimame tu upande wa haki.
 
Hivi unavyoongea mnauhakika??!!netanyau jana tu kaonekana uk yupo powa sijui povu la nini nyie vdampa wa mudi😂😂😁😁 mtachekwa acheni ushabiki maandazi ingia ukurasa wake umuone kiazi wewe
Wagonjwa wa akili maskin Hawa utawaweza ...waache wajifurahishe ...
 
Binafsi sina haja ya kutafuta hela ambazo nazitengeneza mwenyewe.
Tafuta hela maskin wewe siasa za Israel na Palestine zinakusaidia nini utakufa na njaa hata huyo Benjamin akifa itakusaidia nini unaozea kwenye umaskin
 
Wagonjwa wa akili maskin Hawa utawaweza ...waache wajifurahishe ...
Mkuu mbona unaonekana una uchungu sana na hii mada kuliko hata mke wa Netanyahu?

Au hujui kama jamaa haruhusiwi kuowa wake wawili ili uache kujipendekeza kwa mume wa mtu?
 
Mkuu mbona unaonekana una uchungu sana na hii mada kuliko hata mke wa Netanyahu?

Au hujui kama jamaa haruhusiwi kuowa wake wawili ili uache kujipendekeza kwa mume wa mtu?
Tafuta hela maskin wewe siasa za Israel na Palestine zinakusaidia nini utakufa na njaa hata huyo Benjamin akifa itakusaidia nini unaozea kwenye umaskin
 
Tafuta hela maskin wewe siasa za Israel na Palestine zinakusaidia nini utakufa na njaa hata huyo Benjamin akifa itakusaidia nini unaozea kwenye umaskin
Kama zinanisaidia au hazinisaidii wewe inakuhusu nini? Netanyahu sio mumeo sasa sijui imefata nini ku comment visivyokuhusu.
 
Kama zinanisaidia au hazinisaidii wewe inakuhusu nini? Netanyahu sio mumeo sasa sijui imefata nini ku comment visivyokuhusu.
Tafuta hela maskin wewe siasa za Israel na Palestine zinakusaidia nini utakufa na njaa hata huyo Benjamin akifa itakusaidia nini unaozea kwenye umaskin
 
Ulichoandika kuhusu kuheshimu imani ya mtu kina ukweli. Ila kuna tatizo la vijana wengi kuamini kuwa kila anaepingana na Israel au Netanyahu ni muislam, kitu ambacho sio kweli.

Hapo tayar umeshanivika jina la kobazi 🤣🤣 wakati hukuwahi kuniona msikitini, au katika thread zinazohusiana na mambo ya dini ya kiislam, au kikristo.

Nina imani hata Mandela, Nyerere na Desmond Tutu wangekuwa mana JF wenzetu hapa JF basi mngewaita hivyo hivyo. Wakati kiuhalisia hao ni real Christians pengine zaidi yenu nyinyi mnaoshinda mitandaoni.
Sawa mkuu. Umeeleweka
 
Back
Top Bottom