OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga ikipigwa mti raha husambaa mwili mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa msimu yanga bingwa mikia tunawajua vizuri sanaYanga ikipigwa mti raha msambaa mwili mzima
Mianya ilizibwa mkuu. Hakuna kitu kama hicho.akikomaa sana nafasi ya 3Mwisho wa msimu yanga bingwa mikia tunawajua vizuri sana
Mianya ya Manji kununua game. Na yule binti yenu Toto sijui kapotelea wapiMianya ipi?
Waveja kulumba, haha haaaaa!Msikilize Bwigane akitangaza goli la Okwi,unaudhi!!!!!!!au Mwl.Kashasha akimchambua Okwi hadi raha,anatia dikshenari za hatari,mpaka Yanga anabadili stesheni