Toka nianze kuangalia soka sijawahi kumsikia mtangazaji mnoko kama huyu wa Azam

Basi fuatilia mpira kwenye channel za Kiarabu za BEING SPORT.. Huyo wa Mbao Vs Yanga anatangaza vizuri sana. Wale Waarabu wa Being Sport kama timu yako ndio imefungwa unaweza kuzima TV kabisa.
 
Kuna yule mmoja kwenye kombe la mapinduzi alikua anasanifu Kwa kuchomekea lile tangazo la Kilimanjaro VII coming soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…