misorgenes
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 206
- 50
vyote.
Kama umeweza kuvumilia bora usubiri mpaka uolewe. mwombe Mungu akupe busara na hekima ili usiingie majaribuni na ajaribu kutulia na kumpima kama kweli ana nia kweli ya kukuoa.
Hiyo bikira imevutia aidha anataka kuitoa yeye au kukuoa na kuitoa....
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"

sa vyote kivip?

LD; nlikuwa naogopa kwel, but now cwez fanya mpaka ndoa!
Kama ni virgin , fanya kama wanavyofanya merekani, pigisha mnada hapa JF, watu watapanda dau. Utatoka kuliko mahari, na ni siku moja tu, kuliko kuliwa bure, oooh , mapenzi sijui nini? wacha mafisadi tupande dau! Tumo wengi hapa JF.
NO! cwez fanya tht b,ness. thaman ya mwanadamu ni kubwa zaid ya hela!
Kama unamuona ni mtu anayefaa kuitwa mume, na unadhani yupo katika wakati ambao anaweza kuoa, mwambie afanye utaratibu mfunge ndoa.
Au kama anaonesha nia ya kuwa na malengo hayo, lakini kwa sasa bado ajafikia uamuzi huo, usimlazimishe.
Ila kuwa makini, tuliza moyo, jilinde zaidi na zaidi, epuka vishawishi na mazingira yatakayokupelekea wewe kuingia kwene mtego wa kufanya mapenzi. Aisee hawa ndugu zetu wanaume wamepewa akili ya tofauti sana juu ya wanawake, hayo yote anayoyafanya kwa juhudi na maarifa yote, yawezekana ni janja tu, kama ile ya kumkamata kuku kwa kumrushia punje za mahindi au mchele.
Sasa we fikiria kabla hujamwambia hivo mbona alikuwa hafanyi hayo??
Angalia bwana yawezekana mtu hakupendi anapenda "Virgin" na ikishaondoka/akishaitoa ujue imekula kwako.
Mmmmm, bora usingemwambia hivo, lakini angalia, huwa wana maneno mazuri sana hawa ya ulaghai.