Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito

Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!!

Vipi mdau ipoje hii starehe kwa upande wako
 
Unazungumzia week wakati hio kitu yafaa kila siku..huwa tunakula daily mkuu ila hakunaga kuandaana sana wala kutizamana ni kipembeni pembeni fulani chwaaa joto la asbh si unajua
Ipo siku badala ya kutoa uji utatoa unga mkuu
 
Ipo siku badala ya kutoa uji utatoa unga mkuu
Hakuna kitu kama hicho kama unataka ku prove piga hata punyeto mwaka mzima daily utaendelea kutoa sperm tu ila zinakuwa kwenye ujazo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…