Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Umewaza nini🙃🙃🙃Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake).
Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali.
Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
Wao wanavitofali huwa vinavunjika nadiyo maana huwezi kuvionaPengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake).
Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali.
Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
Usiwe unakurupuka bila kutafakari. Sasa Salon wanauzaje kahawa?Inamaana we saluni hujawahi kuziona?
Mbona unabadili mada, mimi nimesema vijiwe vya kahawa au chai vya wanawakeMiguu ya kuku ni vijiwe pendwa kwa kina dada na mama.
Sasa umekuja ninapopataka!!View attachment 2786620
Utakuwa unaishi porini na wanyama ndani ndani huko, vijiwe vya kahawa vya wanawake mbona vipo.
Kilq mbinu inatumika kumfanya awe mama wa Taifa.Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake).
Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali.
Wenzangu vipi mshawahi kukiona?