Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Hii nchi hasa CCM ni kama haina wanamipango madhubuti.
CHadema wamewazidi kistratejia, waliamua kuwa wapole, wakawatulia mzigo wananchi na gen Z.
Hili lilipaswa kuonwa mapema sana.
Ufedhuri wa CCM na serikali ukaleta hii grave mistake ya kuruhusu wananchi na Gen Z, kubeba ajenda.
Leo CHADEMA haitajwi mahali popote pale. Hawana lawama, serikali imejaribu kuwa bambikia lakni bado imekuwa ngumu.
Kimsingi, ni kama kuna watu walio ndani ya mfumo wanaivusha chadema katika tanuru la mauti.
Mungu ni mwema kwa wapenda haki. Chaguo ni lako.