Toka Oct 29,2025 CHADEMA kama haipo kabisa na imekosa kusingiziwa

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,903
Reaction score
7,213
Hii nchi hasa CCM ni kama haina wanamipango madhubuti.

CHadema wamewazidi kistratejia, waliamua kuwa wapole, wakawatulia mzigo wananchi na gen Z.

Hili lilipaswa kuonwa mapema sana.

Ufedhuri wa CCM na serikali ukaleta hii grave mistake ya kuruhusu wananchi na Gen Z, kubeba ajenda.

Leo CHADEMA haitajwi mahali popote pale. Hawana lawama, serikali imejaribu kuwa bambikia lakni bado imekuwa ngumu.

Kimsingi, ni kama kuna watu walio ndani ya mfumo wanaivusha chadema katika tanuru la mauti.

Mungu ni mwema kwa wapenda haki. Chaguo ni lako.
 
TL alicheza kama Pere No reforms no electiom walidhani anatania
 
Kwenye hii movie mwamba anaongoza kikosi akiwa gerezani huku akichora misalaba tu
 

Attachments

  • Screenshot_20251208-231036.png
    748 KB · Views: 20
Kwenye hotuba zao ccm wanajaribu kuihusianisha chadema na hiki kinachoendelea lakini bado wenyewe nafsi zinawasuta

Kwa mfano, kauli maarufu wanayopenda kunukuu ni "kukinukisha" lakini bado
 
Ni kweli. Kuna watu ndani ya mfumo wanailinda CHADEMA kwa picha ya kuwakamata viongozi wao.

CCM walidhani watavitumia CHAUMMA na ACT ila wananchi wamevikataa hivyo vyama. Hakuna aliyeweza kuziba nafasi iliyoachwa na CHADEMA.
 
Ni kweli. Kuna watu ndani ya mfumo wanailinda CHADEMA kwa picha ya kuwakamata viongozi wao.

CCM walidhani watavitumia CHAUMMA na ACT ila wananchi wamevikataa hivyo vyama. Hakuna aliyeweza kuziba nafasi iliyoachwa na CHADEMA.
Ufinyu wa stratejia, hii yakizamani sana!
 
Remember: Kete zinasukumwa kwa akili sana........
 
Kama umejaaliwa kuelewa elewa
 

Attachments

  • IMG_20251120_200549.jpg
    116.6 KB · Views: 30
Kuisingizia chadema na lissu watanzania wameshakataa kwasababu Mungu kawapiga upofu kina Samia na gvt yake chadema wamei mute mapema kabla ya hizi dhahama kiongozi wao Yuko ndani na kabla ya 2910 viongozi wengi wa chadema walikuwa ndani hili lilikuwa kosa kubwa la kimkakati maana wangekuwa nje wangewez kuwa provoked kivyovyote makusudi halafu ikapatikana sababu ya kuwatia ndani lakini mungu akawaepusha wakatiwa ndani wote sasa utamsingizia nani? Halafu sababu za dhahama hizi ni ccm serikali na bunge kufumbia macho vilio vya wananchi chadema haihusiki kabisa. Pitia clipu ya yule bibi anayaewapa makavu ccm na gvt yake ndio utajua watanzania wanajua hila zote za ccm.
 
Kama umejaaliwa kuelewa elewa
Sasa kama serikali ilimkamata mtu takribani miez 6 iliyopita na yupo kwenye mashtaka ambayo mengi ni kama ameyapangua unamtiaje hatiani kisheria.

Hii ni vita dhidi ya wananchi. Haiwezi kuisha kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…