kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Huyu jamaa ni kama Lucas Mwashamba wa bei ya jioni
Hivi toka ameanza kujipendekeza kwa watawala ashawahi kupata nini?
Nauliza tu kwasababu kila baya la serikali likiibuka basi atatoka na uzi wa kuprove wrong kuisifia, kuitetea na kuipaka mafuta sirikali
Huyu mtu hata nyuzi zake sifungui nowdays unafikiri utapata teuzi??jidanganye wakati wewe wanakujua ni team chato?
Ifike mahali muache unafiki na kujipendekeza mnarudisha harakati nyuma na mnazidi kupoteza imani
Jifunze kwa Zito yule ayatollah wa ACT!!