Kama mzee Pascal mayalla kwako ni kajamaa fulani hivi nabet utakuwa na umri sawa na babake NchimbiHuyu jamaa
Kukaa viti vya bungeni kama mgeni "mtuhumiwa" wa bunge la wabonge wa Tanzania.Huyu jamaa ni kama lucas mwashamba wa bei ya jioni
Hivi toka ameanza kujipendekeza kwa watawala ashawahi kupata nini?
Nauliza tu kwasababu kila baya la serikali likiibuka basi atatoka na uzi wa kuprove wrong kuisifia, kuitetea na kuipaka mafuta sirikali
Huyu mtu hata nyuzi zake sifungui nowdays unafikiri utapata teuzi??jidanganye wakati wewe wanakujua ni team chato?
Ifike mahali muache unafiki na kujipendekeza mnarudisha harakati nyuma na mnazidi kupoteza imani
Jifunze kwa Zito yule ayatollah wa ACT!!
Kuuliza si ujinga:Kwani neno jamaa na neno guy(s),hayana uuwiano kimatumizi.Kama mzee Pascal mayalla kwako ni kajamaa fulani hivi nabet utakuwa na umri sawa na babake Nchimbi
Anarejea zake za nyuzi za nyuma ambazo hata jf haijaanza kuonesha yeye mtaalamu wa mambo kumbe kiazi tu, watu tunamchora na mauzi yake ya kujipendekeza.Ngoja akuletee rejea zake za tangu mwaka '59 kabla ya Uhuru wa Tanganyika ndiyo utajua kama matobholwa hutowezewa kama mboga.
Akisoma ulichoandika atalia sana kwa kwikwi!Ni vema akajongea.Anarejea zake za nyuzi za nyuma ambazo hata jf haijaanza kuonesha yeye mtaalamu wa mambo kumbe kiazi tu, watu tunamchora na mauzi yake ya kujipendekeza.
ogopa sana mtu ana jina linalomaanisha njaa!Huyu jamaa ni kama lucas mwashamba wa bei ya jioni