Toka pira biriani hadi pira roho mkononi

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
wakuu salaam,

Team yetu kwa sasa inacheza pira roho mkononi, pira linalotupa presha, hofu, mashaka na wasiwasi muda wote wa mchezo.

kama club tunapitia wakati mgumu sana ambao hatujauzoea siku za karibuni, je, wewe kama mwanasimba unahisi tatizo ni nini na suluhu yake ni ipi ili turejee katika hali yetu ya kawaida?
 
Nyie ndio mnaowapa shinikizo wachezaji mashabiki wa gunners kuna somo inabidi muwapatie mashabiki wa SIMBA.
 
Bloo huwezi kuwa Bora all the time .mpira una ups and down.Liver ametokea wapi,Leo Barca na Juve wako wapi uvumilivu tu ndo unatakiwa
hao ulowataja hawakufeli ghafla kama sisi mkuu, walidrop taratibu bt sie tumedrop ghafla mno hadi inashangaza
 
Ndiyo soka lilivyo timu nyingine nazo ni wanaume wanaingia kazin kupambana,
Suala la msingi ni wachezaji kukaza tu maan soka ndiyo kazi yao wajitume tu amn namn safar hii simba hatupo vizur,
Hawa wachezaji wapya bado hatujaona kazi yao ingawa ligi bado sana lakin hawaoneshi kama wana kitu cha ziada kuweza kuipambania clab ya simba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…