wakuu salaam,
Team yetu kwa sasa inacheza pira roho mkononi, pira linalotupa presha, hofu, mashaka na wasiwasi muda wote wa mchezo.
kama club tunapitia wakati mgumu sana ambao hatujauzoea siku za karibuni, je, wewe kama mwanasimba unahisi tatizo ni nini na suluhu yake ni ipi ili turejee katika hali yetu ya kawaida?