The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
- Thread starter
- #21
Hii ni myopic thinking. Hii Dunia imekua hivyo toka imeanza, kusaidiwa na kusaidiana. Wewe kusaidia ndugu zako ni watumwa wako?Kuwaza waza kusaidiwa ni mawazo ya kitumwa
swali lilitakiwa kuwa tangu Uhuru mmewahi kushirikiana kwny maeneo gani?
Hata vitabu maarufu vya hadithi kama biblia vimejaa hadithi za kusaidiwa na kusaidiana, musa alienda kuwasaidia wana wa Israel je walikua watumwa kwake, yesu alikua kuwasaidia wenye dhambi ama watu wa ulimwengu, je ni watumwa?
Kwa akili yako unadhani kusaidia kumekaa kwenye misingi ya fedha tu, kusaidia ni broader term, mfano kusaidia mawazo, kusaidia wazee wasiojiweza kwa sababu ya umri wao, kusaidia watoto kwa sababu ya umri wao, kusaidia walemavu, kusaidia wangonjwa nk.