The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
- Thread starter
-
- #21
Hii ni myopic thinking. Hii Dunia imekua hivyo toka imeanza, kusaidiwa na kusaidiana. Wewe kusaidia ndugu zako ni watumwa wako?Kuwaza waza kusaidiwa ni mawazo ya kitumwa
swali lilitakiwa kuwa tangu Uhuru mmewahi kushirikiana kwny maeneo gani?
Mwarabu alishakuwa Na kisasi cha miaka mingi baada ya Germany East Africa kumnyang'anya himaya yake yapatayo km 10 kuto fukwe ya bahari ya Hindi kwenda Bara kutoka Malindi hadi Mikindani.Hao waarabu ni matapeli tu waliokuja kutunyonya kupitia mjomba wao.
Ndio maana hata ukitazama sehemu walizofungua kesi baada ya mikataba yao ya kinyonyaji kutotekelezwa, utaona wanavyofaidi kupitia fidia wanazolipwa na nchi husika.
Wamepewa waarabu kwasababu wana kaundugu na mwarabu koko wa visiwani na hawa waislamu wa unguja wanapenda kujipendekeza kwa maarabu, wanawaona waarabu kama miungu yao. OvaNimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo.
Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa.
Kwenye ulimwengu huu, kanuni za ushirikiano ni wa give and take, unanipa na mimi nakupa, akufaae kwa dhiki ndie rafiki.
Swali la kujiuliza, waarabu ambao hawajawahi kutusaidia chochote toka tupate uhuru iweje tuje kuwapa biashara tena kubwa na ya maana namna hii na kuwaacha washirika wetu wa maendeleo kama China, Marekani, Uingereza, Japan, Ujerumani, Finland, Sweden, Canada ama South Korea?
Samia na serikali yake watuambie walitumia vigezo gani kuwapa tenda ama kandarasi waarabu ambao hawana masaada wowote kwenye maendeleo yetu? Je ni ujomba kama watu wanavyozema ama?
Muulize Mbowe aliyeenda kuwekeza Dubai.Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo.
Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa.
Kwenye ulimwengu huu, kanuni za ushirikiano ni wa give and take, unanipa na mimi nakupa, akufaae kwa dhiki ndie rafiki.
Swali la kujiuliza, waarabu ambao hawajawahi kutusaidia chochote toka tupate uhuru iweje tuje kuwapa biashara tena kubwa na ya maana namna hii na kuwaacha washirika wetu wa maendeleo kama China, Marekani, Uingereza, Japan, Ujerumani, Finland, Sweden, Canada ama South Korea?
Samia na serikali yake watuambie walitumia vigezo gani kuwapa tenda ama kandarasi waarabu ambao hawana masaada wowote kwenye maendeleo yetu? Je ni ujomba kama watu wanavyozema ama?
Kuomba omba wewe unaona ndio akili?Hapa ndio unataka kuonyesha kwamba umeandika kitu cha maana?
Kwamba kwa kua tulikua tunawazidi kiuchumi wakati wa uhuru basi hatupaswi kusaidiwa nao, sio?
Kwa akili yako fupi ni kwamba kama mtu amekutangulia kupata pesa, baadae wewe ukaja ukapata zaidi kuliko yeye hapaswi kukuomba msaada kisa alipata pesa kabla yako huko nyuma, sio?
Uwe unashirikisha kichwa kabla ya kuandika, acha kufikiri kwa kutumia maka.lio.
Jinga kabisa kaline hii unataka ufanyiwe[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo.
Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa.
Kwenye ulimwengu huu, kanuni za ushirikiano ni wa give and take, unanipa na mimi nakupa, akufaae kwa dhiki ndie rafiki.
Swali la kujiuliza, waarabu ambao hawajawahi kutusaidia chochote toka tupate uhuru iweje tuje kuwapa biashara tena kubwa na ya maana namna hii na kuwaacha washirika wetu wa maendeleo kama China, Marekani, Uingereza, Japan, Ujerumani, Finland, Sweden, Canada ama South Korea?
Samia na serikali yake watuambie walitumia vigezo gani kuwapa tenda ama kandarasi waarabu ambao hawana masaada wowote kwenye maendeleo yetu? Je ni ujomba kama watu wanavyozema ama?
Hivi ulifika darasa la nne kweli?Jinga kabisa kaline hii unataka ufanyiwe[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Unajitoa akili, reli ya TAZARA ulijenga wewe mburula?Dah, fikra za taifa lenye watu omba omba ni matatizo.
Badala ya kuuliza tuna uhusiano upi wa kihistoria , wewe unauliza "wametusaidia nini" Dah! Inasikitisha sana.
Hivi katika akili yako nanai alyekusaidia toka na kabla ya kupata Uhuru?
Mimi nakwambia hakuna. Ulikuwa unakaangwa kwa mafuta yako tu, usaidiwe tena?
Kwani Dubai alikwambia anakuja hapa kukusaidia?
Tanzania imekua ikiishi kwenye kuomba omba miaka yote toka tupate uhuru, huo ndio uhalisia, linaweza kua sio jambo zuri lakini ukweli na uhalisia unabaki pale pale.Kuomba omba wewe unaona ndio akili?
Walikuwa wanajenga Nchi yao/zao wakusaidie nini?waarabu wa Dubai wamewahi kutusaidia nini ama kuchangia nini hapa Tanzania?
Unajitoa akili, reli ya TAZARA ulijenga wewe mburula?
Hata hiyo huijui? Naomba nione hata bango moja la choo cha shule linaloonyesha msaada ama mchango wa waarabu wa Dubai hapa Tanzania.
Bold ya mwisho, ndio maana nikasema kwenye give and take, dubai hana sifa ya kupewa kazi yoyote hapa Tanzania.
Elewa kuwa Waarabu wa Dubai ni Waislam, Uislam unawafundisha wakitoa msaada wasiutangaze. Labda uutangaze wewe uliopewa.Tanzania imekua ikiishi kwenye kuomba omba miaka yote toka tupate uhuru, huo ndio uhalisia, linaweza kua sio jambo zuri lakini ukweli na uhalisia unabaki pale pale.
Sasa kwenye kipindi cha kuomba omba na kupatiwa misaada huko nyuma, waarabu wa Dubai wamewahi kutusaidia nini ama kuchangia nini hapa Tanzania?
Wametusaidia nyama ya ngamia mkuuNimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo.