Toka UDOM leo tupo UNIVERSITY OF BAGAMOYO MPAKA KIELEWEKE

Toka UDOM leo tupo UNIVERSITY OF BAGAMOYO MPAKA KIELEWEKE

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Ndugu zangu habari za asubuhi! Sisi kama uongozi wa wanafunzi tumefanya jitihada zetu zote kuhakikisha pesa ya mkopo tunapata kwa wakati, hadi hivi sasa pesa ipo kwenye account ya chuo tangu tarehe 23 ya mwezi wa 12/ 2014 ila hadi sasa MUHASIBU anasema tumuongezee muda wa kufanya malipo,

kwa mujibu wa mapatano ya tarehe 15/1/2014 ya kwamba ifikapo ijumaa 17/1/2014 atakuwa ameshalipa kwa wote wasiodaiwa na chuo na kwawale wanaodaiwa ataanza kuwaandalia malipo 19/1/2914 ila hadi sasa hajalipa,

hatuwezi kuvumikia na jambo hili haliitaji kikao lipo wazi. Mapinduzi ya Kweli yataletwa na sisi wenyewe, mm nadhani ni wakati sasa wa kwenda headquarter kushare nao maumivu tuliyonayo. Tafadhari tuwe pamoja.

Mr. Vicent Jonas President.


Na tumeshaanza thankx president leo mpaka kieleweke ada kubwa pesa zetu hawataki kutupatia
 
Wanachofanya nikuweka pesa kwenye fixed account ili iweinaongozeka kila kukicha.
 
Njiani tumekutana na askari wametusimamisha tukawambia nia yetu tukapita tumefika headquarters wana zingua ila sahz bomu la machozi limepigwa hapa bt mpaka kieleweke
 
hizo tarehe ziangalie vizuri, huu ni mwaka 2015

Ni kweli kabisa mleta maada ameandika tar si sahihi sijui alikuwa na haraka au wameingizwa mkenge kuwa na makubaliano yasiyo ya kweli maana hizo tar zimepita au hii habar ni ya mwaka jana c ya leo hebu urudi utupe taarifa kamili
 
Ni kweli kabisa mleta maada ameandika tar si sahihi sijui alikuwa na haraka au wameingizwa mkenge kuwa na makubaliano yasiyo ya kweli maana hizo tar zimepita au hii habar ni ya mwaka jana c ya leo hebu urudi utupe taarifa kamili

au kapewa mkataba wa mwaka jana. haha hahaa, college ya education ng'ong'ona wana mgomo fake sana, nilina back 2011 watu wali sneach, sitaki tena, nikaapa sitakuja shiriki mgomo, ili mgomo wa udom uwe mkali, ng'ong'ona, social n humanities, tiba, info, coes na natural science muungane, ila mgomo wa college moja moja hakuna kitu, eti education wagome wakati social science wanaendelea na shule, no way!
 
Sorry ni typing ela hio ni mwaka 2015 januari hii

usikonde, najua hamjafanya assignment nyingi huu mwaka ndio maana tarehe hazijakaa vema kichwani.

:focus:

endelezeni mapambano vijana, UDOM imeoza sana.
 
Hiyo ni leo imetokea hapo ni typing erra tu! Hapo ni 2015! Na maandamano yamefanyika kwa uchache wetu na udogo wa chuo hayakuwa makubwa wala yenye nguvu sana ingawa watu wameumia na polisi wametumia siraha kukutawanya ikiwa ni pamoja na kupiga bomu la machozi
 
Poleni Sana Ndugu Zangu Wa UDOM Kwa Janga Liliwakuta. Ukweli ni kwamba madai yenu mnayo haki. Asikudanganye Mtu Awaye Yeyote Njaa Ni Janga Ambalo Halina Mjadala Na Mtu Au Kikundi Furani. Inauma Sana. Kama Mtanzania Mwenzenu Nawasihi Sana Mjalibu Kutumia Busara Sana Pamoja Na Njia Nyingine Ambazo Hazitathiri Masomo Au Maisha Kwa Namna Moja Au Nyingine. Nikikumbuka Mgomo Wa Social 2011 Huwa Inaniuma Sana. Natoa Wito Kwa Wahusika Wawape Sitaili Zenu. Nawaombea Kwa Mungu Awafungue Hawa Wenye Mioyo Migumu Wawapatie Fedha Zenu Ili Muweze Kutimiza Malengo Yenu. Tupo Pamoja.
 
Back
Top Bottom