Toka Waarabu waanze kujiingiza kwenye mpira Soka limeanza kupoteza ladha

Sijaona tatizo lolote kwa waarabu. Kwenye football tuwalaumu wazungu kwa kuleta VAR. Yaani VAR imeondoa kabisa ladha ya mpira.
 
Waarabu na wahindi wana hela angalia Simba na Yanga na Azam zinadhaminiwa na kina nani jiulize hapo ndio utapata jibu na anatoa hela sana toa boriti ya jicho lako kwanza kabla ya kusema ya mwenzako
Bongo tu ndio kuna huu upuuzi,nchi nyingine za afrika matajiri ni weusi.
 
Walio haribu ladha ya mpira ni wazungu walio zidisha visheria vya hovyo kwenye mpira, pia kujaribu kutumia mpira kupitisha ajenda zao chafu kama kutangaza ushoga.

Tena teknolojia kwenye mpira ndo imekuja kuharibu kila kitu. Waarabu usiwasingizie japo kuwa unawachukia.
 
Sio hivyo tu ngumi na mieleka WWE inaenda kufanyika Uarabani na bado utavimba hadi upasuke na chuki zako, na wao ndio wenye shirika la ndege bora sasahivi duniani. Usicheze na pesa mzee utajipa stress ambazo hazikusaidii kitu.
 
Bongo tu ndio kuna huu upuuzi,nchi nyingine za afrika matajiri ni weusi.
Sio mbali hata hapo Uganda wenyeji wana pesa na biashara kubwa kuliko wa hindi na hao waarabu ni Tz tu.
 
Wazungu wenyewe wame mind kinoma, wanaona ligi yao itapoteza mvuto. Football made in england ndio maana ligi yao inaongoza kutazamwa duniani. Sasa hiyo ligi ya uarabuni nani ataitazama hata kama watajaza mastaa bado sana haina mvuto
Its a longterm investment , emirate airline ilivyoanza wazungu hawakujua kama itafikia kuzifunika ndege zao, sasahivi yeye ndio anayepiga route nyingi duniani kuliko ndege yoyote, hata uae walivyoanza kutaka dubai iwe kitovu cha biashara na utalii kila myu aliona kichekesho kama tukatalii jangwani look at it now
 
Kuna ukweli katika haya
 
Walivyoandaa kombe la dunia huko uarabuni lilikuwa linatumika kama organ ya propaganda ya kueneza dini na Mila za kiarabu

Ununuaji wa timu kubwa za ulaya zinatumima kama organ ya kueneza Mila za kiarabu na dini

Ununuaji wa wachezaji maarufu kwa garama kubwa unatumika kama organ ya kueneza dini na Mila za kiarabu. Fuatilia kwa makini kwenye mitandao wanavyomtumia Ronaldo na kumtweza mesi kwa kukataa ofa zao
 
kwa hiyo hiyo ligi yao itafika wakati itakuwa ligi bora duniani kupita ligi za uefa? Sawa tusubiri wakati
 
Hapo kwa jackchain umeua
 
Thread ingekua nzuri ungesema Nini kifanyike
 
Waarabu wanekua wanaongoza soka la Africa miaka nenda rudi. Angakia historia ya soka la Africa uone wanaume kutoka Morroco, Algeria, Tunisia na Misri walivyo na wanavyo tawala soka.
 
Maskini mmoja akiwa chanika zingiziwa akiropoka. PUMBAVUUUU
 
Waarabu niwatu wa ajabu sana

Kitu CHOCHOTE kikifanywa na Mwarabu lazima mambo yaharibike.

Mfano:
Luis MIQUISSONE.
Chama.
Bangala.
Kisinda.
Christopher Alex.

Hawa wote wamecheza na wamepewa Hela na Mwarabu na Hatimaye wameishia PABAYA.

Shame
Mbona Al Ahly anasumbua afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…