Toka Waarabu waanze kujiingiza kwenye mpira Soka limeanza kupoteza ladha

Sijaona tatizo lolote kwa waarabu. Kwenye football tuwalaumu wazungu kwa kuleta VAR. Yaani VAR imeondoa kabisa ladha ya mpira.
 
Walio haribu ladha ya mpira ni wazungu walio zidisha visheria vya hovyo kwenye mpira, pia kujaribu kutumia mpira kupitisha ajenda zao chafu kama kutangaza ushoga.

Tena teknolojia kwenye mpira ndo imekuja kuharibu kila kitu. Waarabu usiwasingizie japo kuwa unawachukia.
 
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira km haramu.

Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta.

Wananunua vilabu vya Ulaya na kuweka blood money huko.

Alianza PSG kwa kuvuruga hisia za wachezaji na mashabiki kumwaga mapesa bila mpangilio.

Mafanikio yao ni kama white elephant projects.

Wanashinda lkn mashabiki km hawana furaha,angalia manchester city wameshinda kila kitu ila ni km hawajashinda chochote (wachezaji hawapati pure passion kutoka kwa mashabiki. Ni km wamenunua makombe.

Angalia kina Ronaldo wametimkia Uarabuni lkn wanalipa napenda mengi kwenye media za magharibi waendelee kutangazwa ili wasisahaulike.

PSG walimsajili messi lkn ni km hawakuwa na messi kwasababu ni timu fake yenye mapesa

Waarabu wameingiza pesa wananunua kila kitu nahisi hata waamuzi wameanza kuingia kwenye mifuko ya Waarabu.

Kiufupi waarabu wao ni watu waharibifu ukiangalia ligi inayochezwa kule katikati ya jangwa saudi arabia ni vichekesho vitupu (mashabiki wanaingia bure wanaambiwa washangilie muda wote) sasa huu ni mpira?

Football is not about winning and having everything, football is about passion, culture, friendships.

Ukienda kuangalia mechi ya championship ya stoke city utaona mashabiki walivyo na passion kuliko ukienda kutazama mpira etihad under oil money.

I hope hili wimbi la oil money kwenye mpira litapita lituachie mpira wetu halisi.
Sio hivyo tu ngumi na mieleka WWE inaenda kufanyika Uarabani na bado utavimba hadi upasuke na chuki zako, na wao ndio wenye shirika la ndege bora sasahivi duniani. Usicheze na pesa mzee utajipa stress ambazo hazikusaidii kitu.
 
Bongo tu ndio kuna huu upuuzi,nchi nyingine za afrika matajiri ni weusi.
Sio mbali hata hapo Uganda wenyeji wana pesa na biashara kubwa kuliko wa hindi na hao waarabu ni Tz tu.
 
Wazungu wenyewe wame mind kinoma, wanaona ligi yao itapoteza mvuto. Football made in england ndio maana ligi yao inaongoza kutazamwa duniani. Sasa hiyo ligi ya uarabuni nani ataitazama hata kama watajaza mastaa bado sana haina mvuto
Its a longterm investment , emirate airline ilivyoanza wazungu hawakujua kama itafikia kuzifunika ndege zao, sasahivi yeye ndio anayepiga route nyingi duniani kuliko ndege yoyote, hata uae walivyoanza kutaka dubai iwe kitovu cha biashara na utalii kila myu aliona kichekesho kama tukatalii jangwani look at it now
 
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira km haramu.

Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta.

Wananunua vilabu vya Ulaya na kuweka blood money huko.

Alianza PSG kwa kuvuruga hisia za wachezaji na mashabiki kumwaga mapesa bila mpangilio.

Mafanikio yao ni kama white elephant projects.

Wanashinda lkn mashabiki km hawana furaha,angalia manchester city wameshinda kila kitu ila ni km hawajashinda chochote (wachezaji hawapati pure passion kutoka kwa mashabiki. Ni km wamenunua makombe.

Angalia kina Ronaldo wametimkia Uarabuni lkn wanalipa napenda mengi kwenye media za magharibi waendelee kutangazwa ili wasisahaulike.

PSG walimsajili messi lkn ni km hawakuwa na messi kwasababu ni timu fake yenye mapesa

Waarabu wameingiza pesa wananunua kila kitu nahisi hata waamuzi wameanza kuingia kwenye mifuko ya Waarabu.

Kiufupi waarabu wao ni watu waharibifu ukiangalia ligi inayochezwa kule katikati ya jangwa saudi arabia ni vichekesho vitupu (mashabiki wanaingia bure wanaambiwa washangilie muda wote) sasa huu ni mpira?

Football is not about winning and having everything, football is about passion, culture, friendships.

Ukienda kuangalia mechi ya championship ya stoke city utaona mashabiki walivyo na passion kuliko ukienda kutazama mpira etihad under oil money.

I hope hili wimbi la oil money kwenye mpira litapita lituachie mpira wetu halisi.
Kuna ukweli katika haya
 
Walivyoandaa kombe la dunia huko uarabuni lilikuwa linatumika kama organ ya propaganda ya kueneza dini na Mila za kiarabu

Ununuaji wa timu kubwa za ulaya zinatumima kama organ ya kueneza Mila za kiarabu na dini

Ununuaji wa wachezaji maarufu kwa garama kubwa unatumika kama organ ya kueneza dini na Mila za kiarabu. Fuatilia kwa makini kwenye mitandao wanavyomtumia Ronaldo na kumtweza mesi kwa kukataa ofa zao
 
Its a longterm investment , emirate airline ilivyoanza wazungu hawakujua kama itafikia kuzifunika ndege zao, sasahivi yeye ndio anayepiga route nyingi duniani kuliko ndege yoyote, hata uae walivyoanza kutaka dubai iwe kitovu cha biashara na utalii kila myu aliona kichekesho kama tukatalii jangwani look at it now
kwa hiyo hiyo ligi yao itafika wakati itakuwa ligi bora duniani kupita ligi za uefa? Sawa tusubiri wakati
 
Una hoja na usikilizwe.
Mpira kiukweli umeshuka passion.
Anayekataa sijui labda maOldtimer lakini gone are the days.
Sema kipindi Cha nyuma technology ilikuwa sio kiivyo na social media , Netflix hazikuwepo so option ilikuwa mpira wengine tulikuwa tunajifanya tuna timu tusionekane washamba lakini mpira bana una boa kama sio English premier league na studio zao na sublime za watangazaji mpira ni ufala.
Bora nimcheki Jack Chan
Hapo kwa jackchain umeua
 
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira kama haramu. Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta.

Wananunua vilabu vya Ulaya na kuweka blood money huko. Alianza PSG kwa kuvuruga hisia za wachezaji na mashabiki kumwaga mapesa bila mpangilio. Mafanikio yao ni kama white elephant projects.

Wanashinda lakini mashabiki kama hawana furaha, angalia Manchester City wameshinda kila kitu ila ni kama hawajashinda chochote (wachezaji hawapati pure passion kutoka kwa mashabiki) ni kama wamenunua makombe.

Angalia kina Ronaldo wametimkia Uarabuni lakini wanalipa, mapesa mengi kwenye media za magharibi waendelee kutangazwa ili wasisahaulike.

PSG walimsajili messi lakini ni kama hawakuwa na Messi kwasababu ni timu fake yenye mapesa.

Waarabu wameingiza pesa wananunua kila kitu, nahisi hata waamuzi wameanza kuingia kwenye mifuko ya Waarabu.

Kiufupi Waarabu wao ni watu waharibifu, ukiangalia ligi inayochezwa kule katikati ya jangwa Saudi Arabia ni vichekesho vitupu (mashabiki wanaingia bure wanaambiwa washangilie muda wote) sasa huu ni mpira?

Football is not about winning and having everything, football is about passion, culture, friendships.

Ukienda kuangalia mechi ya Championship ya Stoke City utaona mashabiki walivyo na passion kuliko ukienda kutazama mpira Etihad under oil money.

I hope hili wimbi la oil money kwenye mpira litapita lituachie mpira wetu halisi.
Thread ingekua nzuri ungesema Nini kifanyike
 
Waarabu wanekua wanaongoza soka la Africa miaka nenda rudi. Angakia historia ya soka la Africa uone wanaume kutoka Morroco, Algeria, Tunisia na Misri walivyo na wanavyo tawala soka.
 
Nakumbuka miaka ya 2000 kurudi nyuma nchi za Waarabu zilikuwa zimeuweka mpira kama haramu. Nafikiri ujinga umewaisha kichwani sasa wamevamia mpira wanamwaga pesa za mafuta.

Wananunua vilabu vya Ulaya na kuweka blood money huko. Alianza PSG kwa kuvuruga hisia za wachezaji na mashabiki kumwaga mapesa bila mpangilio. Mafanikio yao ni kama white elephant projects.

Wanashinda lakini mashabiki kama hawana furaha, angalia Manchester City wameshinda kila kitu ila ni kama hawajashinda chochote (wachezaji hawapati pure passion kutoka kwa mashabiki) ni kama wamenunua makombe.

Angalia kina Ronaldo wametimkia Uarabuni lakini wanalipa, mapesa mengi kwenye media za magharibi waendelee kutangazwa ili wasisahaulike.

PSG walimsajili messi lakini ni kama hawakuwa na Messi kwasababu ni timu fake yenye mapesa.

Waarabu wameingiza pesa wananunua kila kitu, nahisi hata waamuzi wameanza kuingia kwenye mifuko ya Waarabu.

Kiufupi Waarabu wao ni watu waharibifu, ukiangalia ligi inayochezwa kule katikati ya jangwa Saudi Arabia ni vichekesho vitupu (mashabiki wanaingia bure wanaambiwa washangilie muda wote) sasa huu ni mpira?

Football is not about winning and having everything, football is about passion, culture, friendships.

Ukienda kuangalia mechi ya Championship ya Stoke City utaona mashabiki walivyo na passion kuliko ukienda kutazama mpira Etihad under oil money.

I hope hili wimbi la oil money kwenye mpira litapita lituachie mpira wetu halisi.
Maskini mmoja akiwa chanika zingiziwa akiropoka. PUMBAVUUUU
 
Waarabu niwatu wa ajabu sana

Kitu CHOCHOTE kikifanywa na Mwarabu lazima mambo yaharibike.

Mfano:
Luis MIQUISSONE.
Chama.
Bangala.
Kisinda.
Christopher Alex.

Hawa wote wamecheza na wamepewa Hela na Mwarabu na Hatimaye wameishia PABAYA.

Shame
Mbona Al Ahly anasumbua afrika?
 
Back
Top Bottom