Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Ila jamaa ana sauti. Hule wimbo alioshirikishwa na Nelly my place dah! Lakin anamkwanja mrefu net worth 4 millions US dollars
My placeKuna ngoma kashirikishwa na Nelly ni noma sana kile kiitikio kakitendea haki sana.
telvvin Campbell, craig davids, hi 5, jodeci, ginuwine, tyresse, montreal Jordan , baby face, etcHayupo hata top 10.
telvin Campbell, craig davids, hi 5, jodeci, ginuwine, tyresse, montreal Jordan , baby face, etcHayupo hata top 10.
pia mad iceRama Dee tz anajua
BaunsaKujua anajua, ila tatizo sijui nini.
Joslin huyu aliyekuwa wakali kwanza? Hata top 20 hafaiJaheim na R.Kelly wote wanajua sana.. bt nafikili R.Kelly ndo anaeheshimiwa zaidi.
& kwa bongo sijaona kama Joslin
Jamaa kasema toka dunia ianze sio marekani tu
Bukoba baby[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana mkuu mm yule jamaa ananikoshaga sana, kuna wimbo wake wa kitambo "Radio message" siuchokagi kuuskiza na ndo ringtone yanguMwimbaji mkali wa R & B ni R. Kelly tu.
Hao wengine hamna kitu.
Ila jamaa ana sauti. Hule wimbo alioshirikishwa na Nelly my place dah! Lakin anamkwanja mrefu net worth 4 millions US dollars
Tyrese Gibson au.?? Kama ni yeye aisee hapana, ni mwigizaji mzuri ila sio mwimbaji mzuri.telvvin Campbell, craig davids, hi 5, jodeci, ginuwine, tyresse, montreal Jordan , baby face, etc
Hapo kwenye video viewers me uwa nachokaga awa wakina r. Kelly, usher awasogeagi ata kidogo kwa kupata viewers wengi kwa hawa wasanii wa kizungu kama wakina Taylor Swift.hiyo title ..hajawahi kutokea, duh!!! mahaba bana
hizo songs zake nyingi hata watazamaji laki 3 hazijafikisha
wako wengi wazuri, hasa kwa USA utashangaa kuna hata usiowajua , kina Kelly wanatulizwa tu
kipaji anacho, ila wako wengi wazuri, kuwa hajawahi kutokea umezidisha chumvi