Tokea dunia ianze hajatokea msanii mkali wa RnB kama Jaheim, lakini sijui kwanini?

Tokea dunia ianze hajatokea msanii mkali wa RnB kama Jaheim, lakini sijui kwanini?

WEST LIFE hawa ndo kamwe hawatatokea kama hao duniani
 
hiyo title ..hajawahi kutokea, duh!!! mahaba bana

hizo songs zake nyingi hata watazamaji laki 3 hazijafikisha

wako wengi wazuri, hasa kwa USA utashangaa kuna hata usiowajua , kina Kelly wanatulizwa tu

kipaji anacho, ila wako wengi wazuri, kuwa hajawahi kutokea umezidisha chumvi
 
[yQUOTE="makilo, post: 16754219, member: 344081"]Kuna ngoma kashirikishwa na Nelly ni noma sana kile kiitikio kakitendea haki sana.[/QUOTE]
my place.....wimbo huo unanikumbusha mbali sana.
 
Ila jamaa ana sauti. Hule wimbo alioshirikishwa na Nelly my place dah! Lakin anamkwanja mrefu net worth 4 millions US dollars

Labda unatania, Net worth $4M unasema Ana mkwanja mrefu. Hizo level za kina Snooky na J Wow wa Jerzy Show. Kuna watu kwenye music industry wana hela ya mpaka dunia inapata adabu.
 
hiyo title ..hajawahi kutokea, duh!!! mahaba bana

hizo songs zake nyingi hata watazamaji laki 3 hazijafikisha

wako wengi wazuri, hasa kwa USA utashangaa kuna hata usiowajua , kina Kelly wanatulizwa tu

kipaji anacho, ila wako wengi wazuri, kuwa hajawahi kutokea umezidisha chumvi
Hapo kwenye video viewers me uwa nachokaga awa wakina r. Kelly, usher awasogeagi ata kidogo kwa kupata viewers wengi kwa hawa wasanii wa kizungu kama wakina Taylor Swift.
 
Back
Top Bottom