My place inaitwa bonge la ngoma.Kuna ngoma kashirikishwa na Nelly ni noma sana kile kiitikio kakitendea haki sana.
Joslin hayupo hata kweny top 20.?? Em acha masihara bhasi,Joslin huyu aliyekuwa wakali kwanza? Hata top 20 hafai
Mwimbaji mkali wa R & B ni R. Kelly tu.
Hao wengine hamna kitu.
Hujamtendea haki R.KellyMy alltime male r&b favourites
1. Joe thomas
2. R kelly
3. Keith sweat
4. Maxwell
5. Jaheim
Kuna ngoma kashirikishwa na Nelly ni noma sana kile kiitikio kakitendea haki sana.
ni yeye , basi weka BRIAN MC KNIGHT,112 na ALL FOR ONE( Ile ngoma yao ya these arms ni ya hatari saana, hakunagaTyrese Gibson au.?? Kama ni yeye aisee hapana, ni mwigizaji mzuri ila sio mwimbaji mzuri.
My alltime male r&b favourites
1. Joe thomas
2. R kelly
3. Keith sweat
4. Maxwell
5. Jaheim
Poa poa.ni yeye , basi weka BRIAN MC KNIGHT,112 na ALL FOR ONE( Ile ngoma yao ya these arms ni ya hatari saana, hakunaga
Nafikiri ni Tyrese aliimba How u gonna act like that!!Tyrese Gibson au.?? Kama ni yeye aisee hapana, ni mwigizaji mzuri ila sio mwimbaji mzuri.
aisee hawamzidi SAM MANGWANA kwenye RnBwapo wengi,kama vile joe Thomas, boyz men, blue, usher Raymond, mary j blige( rnb, soul, pop), hao blue ni hatari saana etc