Tokea dunia ianze hajatokea msanii mkali wa RnB kama Jaheim, lakini sijui kwanini?

Tokea dunia ianze hajatokea msanii mkali wa RnB kama Jaheim, lakini sijui kwanini?

No doubt that RnB ni moja ya genre yenye wakali na ukitaka kusema nani ni nani kazi ipo.. of course namkubali Jaheim ila you can't give away people like
1. Luther Vandros
2. Isley brothers
3. Gerald Levert
4. Kenneth Edmonds
5. Brian MacNight
6. Boyz II Men
7. RL
8. Tyrese
9. Ginuwine
10. The KING R Kelly

Music matters en RnB is the genre!! [emoji111][emoji111]
 
Kwa tz mad Ice bas ila kwa mbele mi naona joe thomas na r Kelly
Pia kci&jojo luther vandross Leonel Richie
 
My alltime male r&b favourites
1. Joe thomas
2. R kelly
3. Keith sweat
4. Maxwell
5. Jaheim

Tumefanana fikra kwa namba moja.
Namkubali sana Joe Thomas, ana uwezo wa kukomand sauti.
 
Hakuna kama Babyface masihara tuweke pembeni wadau!!
 
Back
Top Bottom